Wakili Marijani: Mnyika ameupotosha Umma, shauri la mgawanyo wa mali wa CHADEMA

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua vinginevyo.

Soma Pia: Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA

Shauri hilo la marekebisho namba 1, 2,3,4 la mwaka 2026 linaendeshwa katika Mahakama ya Rufani Dodoma kuhusu kesi za mgawanyo wa mali na Shughuli za kisiasa namba 8960 na 8323 ya mwaka 2025 linalosikilizwa katika Mahakama Kuu Dar es Salaam baina ya Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini CHADEMA na Katibu Mkuu CHADEMA.

Chama kinatumia gharama kubwa mahakamani sina hakika kama walishawahi kukaa wakatathimini hili.

Wajinga watailaumu serikali, wapumbavu watamtaja SAMIA.
 
Aliyetuunganisha na hawa kupe kwenye huu muungano wa kipumbavu, ametukosea sana Watanganyika.
 
Kwa hiyo Mnyika ni tapeli apuuzwe???
Ukishatambua siasa ni utapeli hutahangaika nayo unabaki kushangaa watu wanavopata jazba bila mpangilio..
Wee angalia tu kwenye matukio mbalimbali uone kama kuna mwanasiasa huwa anaumia.
Wanaumia Kondoo/Nyumbu baadae wao ndo wanatoa shingo na midomo kujifanya wanawatete wao wanadraw pesa kama kawa.
 
Chama kinatumia gharama kubwa mahakamani sina hakika kama walishawahi kukaa wakatathimini hili.

Wajinga watailaumu serikali, wapumbavu watamtaja SAMIA.
Unatenganisha vipi huo upuuzi unaofanyika hapo mahakamani na maagizo ya Samia? Ni kipi kinafanya hiyo kesi isiiishe kwa wakati kama sio maagizo?
 
Ukishatambua siasa ni utapeli hutahangaika nayo unabaki kushangaa watu wanavopata jazba bila mpangilio..
Wee angalia tu kwenye matukio mbalimbali uone kama kuna mwanasiasa huwa anaumia.
Wanaumia Kondoo/Nyumbu baadae wao ndo wanatoa shingo na midomo kujifanya wanawatete wao wanadraw pesa kama kawa.
Tundu lissu ni kilema na yupo jela
Mdude nyagali kapotea
Ben saanane kapotea

Hawa ni wanasiasa unaposema wanasiasa haumii ni wazi unatumia ushabiki wa kisiasa na sio akili
 
Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua vinginevyo.

Soma Pia: Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA

Shauri hilo la marekebisho namba 1, 2,3,4 la mwaka 2026 linaendeshwa katika Mahakama ya Rufani Dodoma kuhusu kesi za mgawanyo wa mali na Shughuli za kisiasa namba 8960 na 8323 ya mwaka 2025 linalosikilizwa katika Mahakama Kuu Dar es Salaam baina ya Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini CHADEMA na Katibu Mkuu CHADEMA.

H​

Kajamaa ni katapeli haka
 
Huyu Wakili ni tapeli kabisa. Mbona leo hamtaji Makamu Mwenyekiti kama alivyosema mwanzoni?

Shughulikia za wana Chadema huko mikoani zina uhusiano gani na hiki anakiongea leo?
Je wanawake wa Chadema kusherehekea siku ya wanawake duniani kuna uhusiano gani na zuio lake?

Hawa ndio Matapeli ndani ya mifumo ya Mahakama.
 
Kwa hiyo ni Makao Makuu ya Chadema peke yake ndio ina zuio? Matawi yake na jumuia zake hazijazuiwa kwa sababu Chadema ni Makao Makuu peke yake.

Amandla...
 
Back
Top Bottom