Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Ukishatambua siasa ni utapeli hutahangaika nayo unabaki kushangaa watu wanavopata jazba bila mpangilio..Kwa hiyo Mnyika ni tapeli apuuzwe???
Unatenganisha vipi huo upuuzi unaofanyika hapo mahakamani na maagizo ya Samia? Ni kipi kinafanya hiyo kesi isiiishe kwa wakati kama sio maagizo?Chama kinatumia gharama kubwa mahakamani sina hakika kama walishawahi kukaa wakatathimini hili.
Wajinga watailaumu serikali, wapumbavu watamtaja SAMIA.
Tundu lissu ni kilema na yupo jelaUkishatambua siasa ni utapeli hutahangaika nayo unabaki kushangaa watu wanavopata jazba bila mpangilio..
Wee angalia tu kwenye matukio mbalimbali uone kama kuna mwanasiasa huwa anaumia.
Wanaumia Kondoo/Nyumbu baadae wao ndo wanatoa shingo na midomo kujifanya wanawatete wao wanadraw pesa kama kawa.
Wakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua vinginevyo.
Soma Pia: Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA
Shauri hilo la marekebisho namba 1, 2,3,4 la mwaka 2026 linaendeshwa katika Mahakama ya Rufani Dodoma kuhusu kesi za mgawanyo wa mali na Shughuli za kisiasa namba 8960 na 8323 ya mwaka 2025 linalosikilizwa katika Mahakama Kuu Dar es Salaam baina ya Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini CHADEMA na Katibu Mkuu CHADEMA.
H
Kajamaa ni katapeli hakaWakili mwandamizi Shaban Nsato Marijani ameeleza kuwa kilichozungumzwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia (CHADEMA), John Mnyika kuhusu wigo wa shauri la mgawanyo wa mali ni upotoshaji. Wakili huyo amefafanua kuwa msimamo ukiotolewa awali haujawahi kubadilika mpaka pale Mahakama itakapoamua vinginevyo.
Soma Pia: Dkt. Nshala: Afunguka yaliojili kwenye kesi ya mgawanyo wa mali wa CHADEMA
Shauri hilo la marekebisho namba 1, 2,3,4 la mwaka 2026 linaendeshwa katika Mahakama ya Rufani Dodoma kuhusu kesi za mgawanyo wa mali na Shughuli za kisiasa namba 8960 na 8323 ya mwaka 2025 linalosikilizwa katika Mahakama Kuu Dar es Salaam baina ya Saidi Issa Mohamed na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini CHADEMA na Katibu Mkuu CHADEMA.
Kwa hiyo ni Makao Makuu ya Chadema peke yake ndio ina zuio? Matawi yake na jumuia zake hazijazuiwa kwa sababu Chadema ni Makao Makuu peke yake.Huyu Wakili ni tapeli kabisa. Mbona leo hamtaji Makamu Mwenyekiti kama alivyosema mwanzoni?
Shughulikia za wana Chadema huko mikoani zina uhusiano gani na hiki anakiongea leo?
Je wanawake wa Chadema kusherehekea siku ya wanawake duniani kuna uhusiano gani na zuio lake?
Hawa ndio Matapeli ndani ya mifumo ya Mahakama.
Mmeshindwa kuwapambania?😁Tundu lissu ni kilema na yupo jela
Mdude nyagali kapotea
Ben saanane kapotea
Hawa ni wanasiasa unaposema wanasiasa haumii ni wazi unatumia hisia na sio akili