Wakili Massawe: Kwani Ali Kibao aliposhushwa, si alishushwa na Polisi, walisema ni Polisi?

Wakili Massawe: Kwani Ali Kibao aliposhushwa, si alishushwa na Polisi, walisema ni Polisi?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe akijibu maswali ya Waandishi wa Habari Februari 10, 2026 wakati akitoa taarifa kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini amesema matukio mengi yanayofanyika kama yale ya Mzee Ali Kibao na Humphrey Polepole, Polisi hawajawahi kusema kuwa wamehusika, wasisitiza utii wa sheria kwa Jeshi la Polisi hasa wanapotaka kukamata raia.

Zaidi soma > Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

 
Nguo kulingana na tukio.

Kazi na mtutu wa bunduki tunasonga mbele.
20260130_085220.jpg
 
Back
Top Bottom