PostGE2025 Wakili Massawe: Ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka

PostGE2025 Wakili Massawe: Ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakili wa Mahakama Kuu Fulgence Massawe ameleza kilichotokea Oktoba 29, 2025 "Yaani ukweli ndio unaotangulia; ndio unaopelekea hayo mengine unayoyataka. Mfano, majirani zetu hapa, Kenya, [mwaka 2007] walipata changamoto inayofanana na yetu. Na changamoto yao, nikuambie, huenda haikuwa na madhara makubwa kama ya kwetu. Wenzetu walipigana karibia miezi miwili, mitatu; ripoti zinasema ni watu mia nane mpaka elfu moja [waliouwawa]. Sisi, siku tatu, siku nne, watu 518. Tungekaa mwezi?"

 
Back
Top Bottom