Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Achana na mimi mda wa kazi huu!
Kama kula ni kulà tuu,haya!

Mimi nakupa solution wewe unaleta Ligi!
Rip Parents, sio ligi. Mimi sihitaji kuongeza wala kupunguza.

Siku ukikosa hela nyumbani ndiyo utajua dushe haliwezi kupikwa.

Tutafute hela wanaume. Acha kuwasikiliza wanawake, kesho watasema wanataka mwenye moyo mkubwa.
 
Naona atakoma kuwaonyesha watoto hicho kipisi chake cha sigara.
 
Maneno "wakili msomi" huwa yananikera sana na hutamkwa kishabiki zaidi ya uhalisia.
Kwani eng sio msomi!
Mkuu, hiyo ni tafsiri ya kiingereza cha kisheria ambayo wanasheria wote wanaitwa "learned brothers/sisters", dunia nzima ndio neno lake, sawa na unapomwita hakimu, mbunge au jaji "mheshimiwa", lazima useme hivyo, bila hivyo hujamtaja vizuri. wanasheria tunaitwa Learned brothers (lakini kiswahili chepesi ni wakili msomi badala ya kaka msomi)....nafikiri mainjinia hawaja qualify vizuri kuitwa wasomi kwasababu tusizozijua, vuta subra pengine dunia itakuja kubadilika baadaye na ninyi mkaitwa wasomi, ila kwa sasa ni wanasaheria tu ndio wanaweza kuwa addressed hivyo, ndizo lugha za makazini kwetu hizo mkuu.
 
Huyo msando ni mnafiki tu kama ni rafiki yake hana namba yake ya cm wakili msomi anajadiri kibamia cha mwenzie makubwa haya
 
anampa moyo maana yeye si ana uzoefu na ile video yake na Giggy
 
Subirini Lemutuz aanze kuwadhalilisha wanaomdhalilisha ndo mtajua kuwa jamaa ni Darasa la Saba B... Huyu Jamaa Saiz anatunga mbinu ya kujibu kombora...
Mtaniambia
 
Subirini Lemutuz aanze kuwadhalilisha wanaomdhalilisha ndo mtajua kuwa jamaa ni Darasa la Saba B... Huyu Jamaa Saiz anatunga mbinu ya kujibu kombora...
Mtaniambia
utajibu kombora gani kama umeonekana maumbile yako namna ile dunia nzima, clip itabaki milele hadi watoto wake na wajukuu zake, dada zake etc wamekiona watakiona na wataendelea kukiona? muda si mrefu utakikuta kwenye mitandao ya ngono duniani ile clip na hapo hatakuja kupata nafasi yeyote serikalini kwasababu hilo ndo litakuwa tusi lake. amepigwa pigo kubwa sana laiti kama angelijua angetulia. nampa pole.
 
Msando na lemutuz wote ni pipa na mfuniko yani hawakui,k100 kaanza mwaka vibaya watu wameona pumbu tu machine haipo kwa madai yake baridi ilisababisha kipotee na kubaki nukta
 
Subirini Lemutuz aanze kuwadhalilisha wanaomdhalilisha ndo mtajua kuwa jamaa ni Darasa la Saba B... Huyu Jamaa Saiz anatunga mbinu ya kujibu kombora...
Mtaniambia
Aanze mara ngapi mbona kila siku post zake ni kashfa tupu kwa wenzie.
Sema sasa hv kapatikana kwenye angle sahihi ndio maana inauma. Unaambiwa usirushe mawe km upo kwenye jumba LA vioo.
 
Hawa mawakili wa Instagram nao, eti wakili msomi, kwani kuna wakili ambaye sio msomi?
 
Kokobanga na Kipepe walikuwa na mtifuano lakini sasa ni superfriend hadi Superbrand akaenda kwenye Lounge ya Kipepe.
 
Busara nyingi sana kwenye ushauri wa Msando. Kwa kweli ni kitu cha ajabu sana kumdhalilisha mtu Kisa maungo yake, alafu hii issue ya kibamia ni udhalilishaji mkubwa sana wa kisaikolojia unaofanywa na Wanawake na kuendekezwa na wanaume wajinga. Kila mtu kazaliwa na maumbile yake yanayomfanya awe pekee kwa mfano wake Mungu. Kumdhalilisha mwenzio ni kukashifu uumbaji wa Mungu. Hebu tujirekebishe.
 
Le Mutuz anahoji wanaume wanaokidhalilisha kibamia chake je ni wanaume kweli au Mashoga?
Swali zuri. Mwanaume kamili hauwezi kukaa na kujadili maumbile ya mwanaume mwenzio. Sijui tuna matatizo gani Siku hizi. Hopeless kabisa.
 
Teh teh teeeeh!
Watu na vibamia vyao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…