Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

Wakili msomi Alberto Msando ampa ushauri Lemutuz ‘hakuna kosa kuwa na kibamia’

m
Ila jamaa kapatikana, Tanzania nzima kujua tupu yako hata kama ni ndefu kama punda ni kitendo cha aibu sana...
mkuu hiyo video inapita katika mtandao upi hasa, maana ndo nashtuka sasa kuna picha linaendelea
 
nini kimetokea huko Dar jamani, naomba mnieleweshe mie wa mkoani tafadhali/
sijui nihamie dar
 
Mbona hajamshauri ajiuzulu nafasi zake za kisiasa na kuomba radhi kama yeye alivyofanya!
 
Aongezee kumfariji kuwa hata ngogwe anazo! Maana ndio wanachoweza wasomi wetu.
 
Mzee wa kujibu mashambulizi haonekani sikuhizi kwenye hizi sridi, si kawaida yake
 
Wakili Msomi anashindwa kufanya pro bono, anakimbilia kumshauri le kibamia mzee aliyeshindikana na Wazazi na Tanzania kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom