Wakili msomi Bernard Morrison

Wakili msomi Bernard Morrison

Numero Uno

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2020
Posts
607
Reaction score
1,302
Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison
Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
 
Attachments

  • simbasctanzania_1627234664794_001.mp4
    2 MB
Haya muda utaongea, ila Yanga kama akishinda mjiandae kushuka daraja nakukumbusha kwenye ligi Morison kacheza mechi 16.
 
Nenda shule, CAS hata mimi naweza kwenda kufungua kesi viongozi wenu wamewaona nyie mashabiki wajinga
Sasa wewe bonde CAS anakujua nani, ushakula nguna lako na bando lako la chuo unajiona kila mtu upo nae sawa.

Viongozi ndio kazi bora sisi hoja zetu zimefika CAS na wametusikiliza, vip ile barua aliyo isema Manara mliyo ipeleka FIFA imeishia wapi....
 
Nenda shule
 
Mnajua kujifariji sana. Kwani kesi ni baina ya Yanga na Simba? Hata mkishinda mtaishia kulipwa fidia tu ya breach of the contract na sio zaidi.
Kama Yanga wakishinda, ndio utajua kwa nini timu zinazo mchezesha mchezaji aliyekuwa na mkataba na timu nyingine, zina nyang'anywa points.
 
Na kushindwa itakuwaje??
Ni swala lake Morrison mwenyewe ataamua,ila Yanga akishinda hicho kitacho fuata,kupokwa points za mechi zote alizo cheza Morrison nasikia 16,kwa hiyo kama zikitolewa kuna mtu atashuka daraja.
 
Na hili kombe la leo mnapewa 😂😂😂 uto kama watoto vile
 
Kama timu gani iliwahi kufanyiwa hivyo? Achaneni na kina Nugaz wanawapotosha sana.
Kama Yanga wakishinda, ndio utajua kwa nini timu zinazo mchezesha mchezaji aliyekuwa na mkataba na timu nyingine, zina nyang'anywa points.
 
Kama timu gani iliwahi kufanyiwa hivyo? Achaneni na kina Nugaz wanawapotosha sana.
AS VITA na Mazembe, AS alinyanyang'anywa point Mazembe akawa bingwa.

Sasa Nugaz kapotosha nini na kesi ipo CAS bado hukumu na tar 29 inasikilizwa.Nyie kipindi fulani 2016/17 mliandika barua kwenda FIFA ili yanga apokonywe ubingwa wa 2016/2017 iliishia wapi.

Ninakumbusha tu.
 
Ni swala lake Morrison mwenyewe ataamua,ila Yanga akishinda hicho kitacho fuata,kupokwa points za mechi zote alizo cheza Morrison nasikia 16,kwa hiyo kama zikitolewa kuna mtu atashuka daraja.
Sheria inamtaka Morison afanye nini mkishindwa hiyo kesi??
 
AS VITA na Mazembe, AS alinyanyang'anywa point Mazembe akawa bingwa.

Sasa Nugaz kapotosha nini na kesi ipo CAS bado hukumu na tar 29 inasikilizwa.Nyie kipindi fulani 2016/17 mliandika barua kwenda FIFA ili yanga apokonywe ubingwa wa 2016/2017 iliishia wapi.

Ninakumbusha tu.

Kwani kesi ya As Vita Vs Mazembe inafanana na hii?? Ile ni ya kanuni hii ya Yanga na Morrison ni ya mkataba!bladfwaken #Back2Back with #2BacktoBack
 
Back
Top Bottom