TrueeeWatanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
Nakubaliana na wewe ngoja nijiandae kupiga pull ups kadhaa nipashe mwiliWatanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
Dah inasikitisha sana.Binti bado mbichi kabisa! huyu Kaburu mpya kutoka South hana huruma kwa kweli atatumaliza wajameni. Rip wakili msomi 😢😢😢😢
Noma sana...
Imenibidi nitabasamu tu.Binti bado mbichi kabisa!
Kwa hiyo wewe hapo tu ndiyo umepakubali kwingine kote umeona nimeandika zigizagaImenibidi nitabasamu tu.
Rest in easy Lady.
Amekwenda na utamu wake!!
R.I.P Dada wakili.
Kuna evidence kuwa kafariki kwa Covid??[emoji2369][emoji2369]R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!
Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.
View attachment 1700061
Du gone to young.R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi