TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

TANZIA Wakili msomi Judith Mushumbusi hatunae tena

Watanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
Trueee
 
Dah RiP wakili msomi, kweli kifo hakina huruma, huyu Korona sasa tuliodhani tu salama kutokana na umri inabidi sasa tuchukue tahadhari. Korona haangalii umri.
 
Pumzika kwa amani advocate wetu

Kingsmann
IMG_20210211_205841.jpg
 
Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.

Niliona Mtoto wa Chacha Wangwe amepost anasema ni Class Mate wake.
 
Watanzania fanyeni mazoezi, mwili unatakiwa uchangamshe.
Jitahidini hata utembee km 2 kwa siku.
Huu ugonjwa hauna madhara kwa watu wanaoushughulisha mwili.
Mbona mama ntilie, machinga, wapiga debe, mafundi ujenzi, wanamichezo, dereva bajaji na bodaboda hawafi?
Sababu miili yao haikai kizembe kama hawa wanaokaa kwenye viyoyozi ofisini.
Note:
Tangu Corona ianze hakuna mwanamichezo duniani aliyefariki.
Wanaupata ila hauwadhuru
Nakubaliana na wewe ngoja nijiandae kupiga pull ups kadhaa nipashe mwili

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Dah hesabu langu linasema ni watatu kwa hii wiki wapili kwa hii siku.

dah!!! RIP learned Sister
 
RIP.

"Numerals of funerals every day
When I take a closer look of all my niggas around my way (Ha!)

Busta Rhymes, "Hot Fudge".
 
R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi

Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.

NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!

Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.

View attachment 1700061
Kuna evidence kuwa kafariki kwa Covid??[emoji2369][emoji2369]

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wananchi tulieni, Corona tumeshaishinda na Mungu yupo upande wetu. . Mungu huwa hashindwi - ila fuateni maelekezo ya wataalamu wa afya kuhusu kujikinga!!
 
R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi

Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.

NOTE: Tuendelee kujikinga na Corona! Maisha sio mali ya serikali unayoishabikia, sio mali ya Kanisa unaloabudu, sio mali ya Kiongozi wako wa kidini wala sio mali ya chama chako. Maisha ni mali yako!

Niwarai tu tena kwamba kama hujaumizwa na Corona basi mshukuru Mungu jiepushe kutoa matamko yanayowaumiza walioumizwa na Corona.

View attachment 1700061
Du gone to young.
 
Back
Top Bottom