Wakili Msomi Mwabukusi anza na shambulio la Lissu na kupotea kwa Ben Saanane

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya:
1. Shambulio la Tundu Lissu
2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda.
Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo yatadaiwa tu ukweli wake hata kama ni karne ijayo.
 
Mods chondechonde na uzi wangu.
 
Hivyo aweke pembeni Kuna mengi hasa aliyoahidi
 
Ndugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya:
1. Shambulio la Tundu Lissu
2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda.
Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo yatadaiwa tu ukweli wake hata kama ni karne ijayo.
Mnaahindwa kujua kazi kuu ya TLS
 
Wataalamu fikra kama hizi wanaita ‘expectation gap’ ni kipi hasa mamlaka husika inaweza fanya tofauti na mawazo ya baadhi ya wananchi wanavyofikiria nguvu za hao watu.

Sio kusema sipendi kujua maswali ya mada kupewa majibu; Iła raisi wa TLS hana mamlaka hayo.
 
Umeana sasa akili zenu,hapo Mwabukusi anawaza CDM tupu.
 
Back
Top Bottom