Hivyo aweke pembeni Kuna mengi hasa aliyoahidiNdugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya:
1. Shambulio la Tundu Lissu
2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda.
Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo yatadaiwa tu ukweli wake hata kama ni karne ijayo.
Mnaahindwa kujua kazi kuu ya TLSNdugu Rais wa TLS sisi watanzania wapenda haki tunaomba uanze na haya:
1. Shambulio la Tundu Lissu
2. Kupotea kwa Ben Rabiu Saa nanena Azory Gwanda.
Ishinikizeni serikali juu ya masaibu yaliyowakuta hawa watu wakumbushe serikali ina jukumu la kulinda raia wake na si vinginevyo. Haya mambo yatadaiwa tu ukweli wake hata kama ni karne ijayo.
Umeandika takataka, sasa Mwabukusi atafanya nini?Mods chondechonde na uzi wangu.