Wakili Msomi, Naibu Spika, Mhadhiri Mwandamizi na Daktari wa Falsafa wa Sheria, Tulia Ackson awa tishio kwa Spika Job Ndugai

Nilisema hapa na kweli akamng'oa Ndugai hivi hivi. Sasa imebaki amchomoe Mwigulu na kumtupilia mbali kule kapuni!
 
Yaani Tulia awe Spika, ww una hysteria, wahi hosp iliyokaribu nawe ukapime na upate matibabu haraka sana. Ndugai is by far the best compared to Tulia, hilo halina discuss or question. Shithole
Jay One vipi mambo? Uko wapi siku hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…