Kama huelewi usilete siasa hapa
Wakili inajitosheleza hakuna jina wakili wa desturi au wakili msomi na ujingajinga wa siku hizi. Hata wasomi wa Tanzania siku hizi uwezo umepungua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama huelewi usilete siasa hapa
Na wewe ni msomi wa siku hizi?Wakili inajitosheleza hakuna jina wakili wa desturi au wakili msomi na ujingajinga wa siku hizi. Hata wasomi wa Tanzania siku hizi uwezo umepungua sana
Huo ni uwezo wako butu ulivyotopea na gizaWakili inajitosheleza hakuna jina wakili wa desturi au wakili msomi na ujingajinga wa siku hizi. Hata wasomi wa Tanzania siku hizi uwezo umepungua sana
Mbona kuna taaluma za maana dunia hii kuliko wanasheria? HUwa wanajikuza tu, lakini tulikotoka; tangu sekondari hadi vyuo vikuu tunajua wansheria ni watu wa kiwango gani cha brain. Dunia inabadilika kwa sababu ya wansayansi siyo pumbaf ya wanasheria, ila ukiwakuta wanaji-mwambafai!Wiv tu kwa sababu waandishi wa habari hamana sifa za title hizo! Ungekuwa lawyer ungejimbafai tu na wewe!
Umeaza nawewe ili uwe mbunge lazima uwe spikaKugombea Uspika sio lazima uwe Mbunge! Isitoshe wengi husema hawagombei mwisho wa siku wanagombea!
Spika siyo lazima kuwa mbunge kikatibaNdugey alishasema hagombei tena ubunge 2025 so hana mpango na uspika.
Kama ni hivyo basi kusiwe na sifa ya kuitwa Mheshimiwa Spika, Mh. Waziri. Mh. Mbunge badala yake watamke vyeo vyao kavukavuKatika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa Mtangulizi wake Marehemu, Msomi Wakili, Samweli Sitta.
Huyu anataka kuwaonesha watu kuwa wanasheria si lolote na si chochote. Kwa kuweka msisitizo huo ameanza kuwashambulia eti watu wanaotambulishwa kwa majina ya fani zao waache mara moja.
Hii ina maana hataki Naibu wake atangulize utambulisho wa fani au umahiri wake kwa sababu wakigombea pamoja USpika ni lazima hizo sifa za fani na umahiri zitampunguzia credit.
Waliokuwa karibu na Naibu Spika jana baada ya maneno ya Bosi wake wanadai alishangaa sana na lugha ya machoni alionekana kutoafiki aliyokuwa akiyaongea Bosi wake.
Siku hizi za karibuni Job Ndugai amekuwa akitumia sana ubabe kuongoza bungeni na kutamani kuongoza hata mihimili mingine ili aonekana ana nguvu kubwa ya kimaamuzi hapa nchini kwani baada ya kujihisi hataweza kugombea URais 2025 amepania agombee tena huo USpika.
Wabunge wengi wanamchora tu na kujifanya wanamuunga mkono lakini 2025 ni lazima aliwe kichwa na asipokuwa makini akajaribu kugombea basi changamoto ya kisaikolojia itamkumba na kumsababishia shinikizo la damu na kitachofuata mimi sijui.
Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa Mtangulizi wake Marehemu, Msomi Wakili, Samweli Sitta.
Huyu anataka kuwaonesha watu kuwa wanasheria si lolote na si chochote. Kwa kuweka msisitizo huo ameanza kuwashambulia eti watu wanaotambulishwa kwa majina ya fani zao waache mara moja.
Hii ina maana hataki Naibu wake atangulize utambulisho wa fani au umahiri wake kwa sababu wakigombea pamoja USpika ni lazima hizo sifa za fani na umahiri zitampunguzia credit.
Waliokuwa karibu na Naibu Spika jana baada ya maneno ya Bosi wake wanadai alishangaa sana na lugha ya machoni alionekana kutoafiki aliyokuwa akiyaongea Bosi wake.
Siku hizi za karibuni Job Ndugai amekuwa akitumia sana ubabe kuongoza bungeni na kutamani kuongoza hata mihimili mingine ili aonekana ana nguvu kubwa ya kimaamuzi hapa nchini kwani baada ya kujihisi hataweza kugombea URais 2025 amepania agombee tena huo USpika.
Wabunge wengi wanamchora tu na kujifanya wanamuunga mkono lakini 2025 ni lazima aliwe kichwa na asipokuwa makini akajaribu kugombea basi changamoto ya kisaikolojia itamkumba na kumsababishia shinikizo la damu na kitachofuata mimi sijui.
Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
wabongo kwa maneno mmeanza sasa!! mmm!!!Kwani taaluma ya spika ni ipi labda tuanzie hapo
afadhali uwe cargo huko mwaya wee!! lkn kuvutia mlonga nzila mwee! hapana heshima pale utashikwa shikwa weee!!!akienda india safari hii hawezi kurudi kama abiria, atarudishwa kama cargo pale airport
Alaa!! kuumbe waandishi ni vilaza hivi?? nilikuwaga sijui!Wiv tu kwa sababu waandishi wa habari hamana sifa za title hizo! Ungekuwa lawyer ungejimbafai tu na wewe!
Kwanza atafika mwaka huo?Ndugey alishasema hagombei tena ubunge 2025 so hana mpango na uspika.
2025 is too far, hii imekuwa kweli, sasa Tulia anaingia..Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe alikuwa anaenda kimya kimya huyu mama! Kazi kweli kweli!2025 is too far, hii imekuwa kweli, sasa Tulia anaingia..
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
P
Kuna watu humu ni kama manabii.Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.
Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
atleast awe na uelewa wa mambo ya sheria sababu bungeni ni sheria,taratibu na kanuni.Kwani taaluma ya spika ni ipi labda tuanzie hapo
Perfect2025 is too far, hii imekuwa kweli, sasa Tulia anaingia..
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
P
Hebu niambie Kamanda! Upo TZ hii?Yaani Tulia awe Spika, ww una hysteria, wahi hosp iliyokaribu nawe ukapime na upate matibabu haraka sana. Ndugai is by far the best compared to Tulia, hilo halina discuss or question. Shithole
Ndugai alianza panic za hovyo hovyo ndiyo maana though Tulia kwangu mimi sio chaguo sana but I believed asingeweza achia!Kuna watu humu ni kama manabii.
2025 ni mbali, sasa ni 2022 hili linalwenda kutokea.
P