Wakili Msomi, Naibu Spika, Mhadhiri Mwandamizi na Daktari wa Falsafa wa Sheria, Tulia Ackson awa tishio kwa Spika Job Ndugai

Wakili inajitosheleza hakuna jina wakili wa desturi au wakili msomi na ujingajinga wa siku hizi. Hata wasomi wa Tanzania siku hizi uwezo umepungua sana
Na wewe ni msomi wa siku hizi?
 
Ndugai ameshindwa kuelewa kuwa hawa jamaa hawakujipachika hayo majina bali sisi ndiyo tuliowapachika!
 
Wiv tu kwa sababu waandishi wa habari hamana sifa za title hizo! Ungekuwa lawyer ungejimbafai tu na wewe!
Mbona kuna taaluma za maana dunia hii kuliko wanasheria? HUwa wanajikuza tu, lakini tulikotoka; tangu sekondari hadi vyuo vikuu tunajua wansheria ni watu wa kiwango gani cha brain. Dunia inabadilika kwa sababu ya wansayansi siyo pumbaf ya wanasheria, ila ukiwakuta wanaji-mwambafai!
 
Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.

Huyu bwana mambo mengi amekuwa akiyafanya kwa kutumia vitisho vitisho tu akiachana kabisa na ule utaratibu wa kidemokrasia wa Mtangulizi wake Marehemu, Msomi Wakili, Samweli Sitta.

Huyu anataka kuwaonesha watu kuwa wanasheria si lolote na si chochote. Kwa kuweka msisitizo huo ameanza kuwashambulia eti watu wanaotambulishwa kwa majina ya fani zao waache mara moja.

Hii ina maana hataki Naibu wake atangulize utambulisho wa fani au umahiri wake kwa sababu wakigombea pamoja USpika ni lazima hizo sifa za fani na umahiri zitampunguzia credit.

Waliokuwa karibu na Naibu Spika jana baada ya maneno ya Bosi wake wanadai alishangaa sana na lugha ya machoni alionekana kutoafiki aliyokuwa akiyaongea Bosi wake.

Siku hizi za karibuni Job Ndugai amekuwa akitumia sana ubabe kuongoza bungeni na kutamani kuongoza hata mihimili mingine ili aonekana ana nguvu kubwa ya kimaamuzi hapa nchini kwani baada ya kujihisi hataweza kugombea URais 2025 amepania agombee tena huo USpika.

Wabunge wengi wanamchora tu na kujifanya wanamuunga mkono lakini 2025 ni lazima aliwe kichwa na asipokuwa makini akajaribu kugombea basi changamoto ya kisaikolojia itamkumba na kumsababishia shinikizo la damu na kitachofuata mimi sijui.

Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
Kama ni hivyo basi kusiwe na sifa ya kuitwa Mheshimiwa Spika, Mh. Waziri. Mh. Mbunge badala yake watamke vyeo vyao kavukavu
 
Yaani Tulia awe Spika, ww una hysteria, wahi hosp iliyokaribu nawe ukapime na upate matibabu haraka sana. Ndugai is by far the best compared to Tulia, hilo halina discuss or question. Shithole
 
akienda india safari hii hawezi kurudi kama abiria, atarudishwa kama cargo pale airport
afadhali uwe cargo huko mwaya wee!! lkn kuvutia mlonga nzila mwee! hapana heshima pale utashikwa shikwa weee!!!
 
Katika kuunda Timu yake ya kuhakikisha anazidi kubaki madarakani - Mh. Spika, Ndugu Job Ndugai amegundua tishio au threat (kwa kimombo) kubwa kwake ni Naibu wake.

Ninamshauri amwandae Naibu wake kushika 2025, hiyo ndiyo salama yake.
Kuna watu humu ni kama manabii.
2025 ni mbali, sasa ni 2022 hili linalwenda kutokea.
P
 
Yaani Tulia awe Spika, ww una hysteria, wahi hosp iliyokaribu nawe ukapime na upate matibabu haraka sana. Ndugai is by far the best compared to Tulia, hilo halina discuss or question. Shithole
Hebu niambie Kamanda! Upo TZ hii?
 
Kuna watu humu ni kama manabii.
2025 ni mbali, sasa ni 2022 hili linalwenda kutokea.
P
Ndugai alianza panic za hovyo hovyo ndiyo maana though Tulia kwangu mimi sio chaguo sana but I believed asingeweza achia!
 
Back
Top Bottom