Wakili msomi Patrick Simon anesoma shule zipi ( msingi na sekondari) na vyuo vipi?

Wakili msomi Patrick Simon anesoma shule zipi ( msingi na sekondari) na vyuo vipi?

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Habari zenu wanajamvi...

Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.

Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake.
 
Mods kwenye kichwa cha habar isomeke i'amesoma' na sio 'anesoma'
 
Ameshafukuzwa kazi

1746165463450.png
 
Utafiti binafsi alafu unatuuliza sisi? Mbona makao makuu ya klabu yapo wazi siku zote na kitengo cha Katiba na Sheria ipo wazi
 
Utafiti binafsi alafu unatuuliza sisi? Mbona makao makuu ya klabu yapo wazi siku zote na kitengo cha Katiba na Sheria ipo wazi
Hizo kesi za mbereko labda wawatumie fisiem rafu itumike
 
Habari zenu wanajamvi...

Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.

Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake
Habari zenu wanajamvi...

Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.

Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake.
Duru za Taarifa zinasema huyo wakili hajawahi shinda Kesi.
 
Kila kesi huwa anashindwa
Umejiridhisha vip kua yeye ndiye mwenye shida?.Inawezekana tatizo sio yeye ni viongozi.Ata uko kwenye vilabu nako inawezekana kuna aina viongozi kama hawa tunaowaona uko kwenye siasa au serikalini.Kuna viongozi hawanaga muda wakusikiliza ushauri wa wataalamu na ukimbishia kazi huna.Kwahiyo tusihukumu sana bila kujua mazingira yakoje.
 
Back
Top Bottom