NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Hizo kesi za mbereko labda wawatumie fisiem rafu itumikeUtafiti binafsi alafu unatuuliza sisi? Mbona makao makuu ya klabu yapo wazi siku zote na kitengo cha Katiba na Sheria ipo wazi
Habari zenu wanajamvi...
Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.
Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake
Duru za Taarifa zinasema huyo wakili hajawahi shinda Kesi.Habari zenu wanajamvi...
Bila kupoteza muda naomba anaefahamu shule na vyuo alivyo soma wakili Patrick Simon anijulishe.
Nataka nifanye tafiti binafsi kuhusu taaluma yake.
Umejiridhisha vip kua yeye ndiye mwenye shida?.Inawezekana tatizo sio yeye ni viongozi.Ata uko kwenye vilabu nako inawezekana kuna aina viongozi kama hawa tunaowaona uko kwenye siasa au serikalini.Kuna viongozi hawanaga muda wakusikiliza ushauri wa wataalamu na ukimbishia kazi huna.Kwahiyo tusihukumu sana bila kujua mazingira yakoje.Kila kesi huwa anashindwa