Umewaza kama kupe tuAtakuwa rais wa mioyo ya nyumbu na wanufaika wa michango ya join The chain.
Huyu akaendeleze kazi ya udereva wa daladala kwani ndo kazi stahiki yake. Haya mengine awaachie wenye uwezo kwani uwezo huo hana.Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Alishindwa Ubunge Mbeya Vijijini 2020. Atauweza Urais wa Tanzania?Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Kujua kuongea sana sio kuwa kiongozi Bora, hivi huyu si ndio alihusika na migogoro ya NCCR? Subiri tu anyimwe fomu na CHADEMA za kugombea ubunge ndio utaelewa ni mtu wa aina gani.Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Ubunge siyo hadhi yake. Huyu level zake ni kubwa, awe Rais.Alishindwa Ubunge Mbeya Vijijini 2020. Atauweza Urais wa Tanzania?