SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Utakuwa unatumia makalio kufikiri kama mlivyo wanufaika wote wa ufisadi wa CCM.Atakuwa rais wa mioyo ya nyumbu na wanufaika wa michango ya join The chain.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa unatumia makalio kufikiri kama mlivyo wanufaika wote wa ufisadi wa CCM.Atakuwa rais wa mioyo ya nyumbu na wanufaika wa michango ya join The chain.
Papasi mamakoMpaka kitengo kiridhie ,ila mapapasi wa CHADEMA wasahau, wanawake tu wamewashinda itakuwa kuongoza vichwa mchungu vya waTanganyika.
Mi nawashangaa viongozi wa Chadema wanapohutubia mijimacho inawatoka ,sasa wananmtisha nani Mtanganyika?
Wengi wa viongozi wa Chadema wana asili ya Congo.
Hakuna haja ya kutoleana mijicho mnapotuhutubia , leo mnatutolea mijicho ,mkishinda ushaguzi si mtatupiga risasi hazarani.
Kujua kuongea sana sio kuwa kiongozi Bora, hivi huyu si ndio alihusika na migogoro ya NCCR? Subiri tu anyimwe fomu na CHADEMA za kugombea ubunge ndio utaelewa ni mtu wa aina gani.
Alikua Chadema akahamia NCCR so ni MWANASIASA wa kitambo tu hata ukiangalia ule mgogoro wa Mbatia na NCCR alikua akitoa press release za chama Kila wakati. Naona wengi mmemjua wakati wa hili sakata tu!!Hapaswi kujiunga na chama chochote kilichopo. Aanzishe au ajiunge kwenye chama kipya. Hii nchi ataichukua mapema sana.
Huyu Mwabukusi anaweza akawa dikteta mbaya kama Magufuli maana mijitu mibishi na inayoamini kwamba iko sahihi kila wakati haifai kiutawalaHuyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Amewahi hata kugombea ubunge huko kwao Busokelo akaangukia pua. Ubishi ni kitu kimoja na ushawishi wa watu kwa hoja za kiuongozi ni kitu kingineAlikua Chadema akahamia NCCR so ni MWANASIASA wa kitambo tu hata ukiangalia ule mgogoro wa Mbatia na NCCR alikua akitoa press release za chama Kila wakati. Naona wengi mmemjua wakati wa hili sakata tu!!
Daaah Kwa hiyo Mwabukusi umeona uje ujipigie debe mapema hiviHuyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
VX VERSION YA NGAPI ANATAKIWA KUKUTANA NAYO?Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Exactly!Nani kakuambia kuwa na jazba ndiyo kigezo cha kuwa Rais?
Yaani Tanzania iliyovuka mikononi mwa Dikteta Magufuli irudi kwa takataka nyingine tena!!
Urais ni hekima, kipawa na mvuto. Mijitu ya namna ya Seif Shariff au Mtikila haitufai kwenye uongozi wa watu
Kila mmoja wetu ana viatu saizi yake...Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza, jamaa ana kitu ambacho Tanzania inaitaji kiongozi kama yeye.
Haongei blabla kama wanasiasa wengine, jamaa anaongea facts nyingi na zenye uhalisia wa kile anaongea.
Watanzania nawaambieni tumpe nchi Mwambukusi 2025, huyu ndiye mrithi wetu baada ya Magufuli.
Matusi ni sera ya chama cha Mbowe.Utakuwa unatumia makalio kufikiri kama mlivyo wanufaika wote wa ufisadi wa CCM.
Ahahahahaha! Huwezi fikia mbili kabla ya Moja! Ahahahahaha!!!Ubunge siyo hadhi yake. Huyu level zake ni kubwa, awe Rais.
ukweli mchungu, nikiongea fairly kabisa leo, Mwabukusi hajaungwa mkono na watanzania vya kutosha. watu wanamuunga tu mkono kwa maneno na kwenye social media ila kwa vitendo yupo peke yake. hata chadema hawapo nyuma yake na ukimwangalia mwabukusi unaona kabisa usoni kwake jinsi anavyojiona ametelekezwa, hii vita anapigana peke yake na itamshinda au atakata tamaa njiani. tatizo lingine ni kwamba, zamani alikuwa chadema akahamia nccr mageuzi ambayo yeye anasema imeporwa, pale nccr mageuzi hakuna aliye nyuma yake, yaani ni individual person anapigana vita peke yake kabisa. huu ndio ukweli mchungu. na uwakili watamnyang'anya na atakuwa hana kazi, njaa itamuumiza na watanzania wataishia tu kumpa pole na kumcheka. hivyo ndivyo watanzania walivyo.Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.