JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TLS imechukua nafasi ya makanisa, misikiti, bunge na mahakama, goodRais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
Ndugu yangu, mwaka 2020 kuna Mbunge aliye chaguliwa!? Au walitangazaa tu kwakua waligombea kupitia chama cha Jiwe!?Ifikie hatua kama wananchi tunapochagua watu wa kutuwakilisha bungeni tuchague watu wenye akili timamu na watu wanaowajibika kwa wananchi. Hili ndilosolution ya matatizo kama haya.
Tuna ombwe kubwa sana la uongozi. Imefikia hatua kuna baadhi ya watu hawakustahili hata kuongoza mifugo leo hii wana nyadhifa kubwa na nyeti kwenye Taifa. Matokeo yake Tunaongozwa kichawi kichawi.
hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuchezea UHAI wa binadamu mwenzio aidha kwa tofauti ya kidini, kisiasa, au kwanamna yoyote ile..
Leo hii mahakama, Bunge, polisi, wameziba masikio hawataki kujua nini kinatokea! Swali Nani mhusika yupo nyuma ya haya?
Huyu Mwabukusi ni mtetezi wa chademaRais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
Imeuweka vizuri.Ndugu yangu, mwaka 2020 kuna Mbunge aliye chaguliwa!? Au walitangazaa tu kwakua waligombea kupitia chama cha Jiwe!?
Lakini pia kuna clip inapita anasikika Spika wa Bunge akihamasisha wanaccm wenzie kwamba yeyote atakaye pingana na Rais walale naye mbele, maana ya kulala naye mbele ni pana sana hata kutekwa ni sehemu ya kulala na MTU mbele. Kuna kiongozi wa UVCCM naye anasikika kwamba yeyote atakaye patokana anakosoa kosaoa viongozi watampoteza na Polisi wasiingilie kati, watu wanashangilia. Katika mazingira ambayo Spika mwenyewe anahamasisha wanachama wake kulala mbele na yeyote atakaye mpinga Rais unatarajia nini!?
Wakati wa JPM maiti zaidi ya mia moja ziliokotwa pale Coco Beach na hatukuona mjadala wowote ukifanyika humo bungeni.Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
Watashughulika nae vilivyo.Huyu Mwabukusi ni mtetezi wa chadema
Huyu Mwabukusi ni mtetezi wa chadema
Kuna sehemu kaitaja Chadema? Kwahiyo mawakili wote waliompa kura ni wafuasi wa Chadema? Basi Chadema ina watu/vichwa.Watashughulika nae vilivyo.
Shisa majimboni watu wanahogwa kanga, Tshirt na kofiaIfikie hatua kama wananchi tunapochagua watu wa kutuwakilisha bungeni tuchague watu wenye akili timamu na watu wanaowajibika kwa wananchi. Hili ndilosolution ya matatizo kama haya.
Tuna ombwe kubwa sana la uongozi. Imefikia hatua kuna baadhi ya watu hawakustahili hata kuongoza mifugo leo hii wana nyadhifa kubwa na nyeti kwenye Taifa. Matokeo yake Tunaongozwa kichawi kichawi.
hakuna kitu kibaya kwenye maisha kama kuchezea UHAI wa binadamu mwenzio aidha kwa tofauti ya kidini, kisiasa, au kwanamna yoyote ile..
Leo hii mahakama, Bunge, polisi, wameziba masikio hawataki kujua nini kinatokea! Swali Nani mhusika yupo nyuma ya haya?
Huyo ni mwanasiasa kwa kuifuatilia historia yake. Aligombea ubunge jimbo mojawapo kule Mbeya mwaka 2020 akashindwa na hata misimamo yake ni ushahidi kwamba ni mwanachama wa CHADEMA.Kuna
Kuna sehemu kaitaja Chadema? Kwahiyo mawakili wote waliompa kura ni wafuasi wa Chadema? Basi Chadema ina watu/vichwa.
Huyu Mwabukusi atafutiwe Jimbo agombee Ubunge.TLS imechukua nafasi ya makanisa, misikiti, bunge na mahakama, good
Itafaa sanaWatashughulika nae vilivyo.
Vichwa vichafu kweliKuna
Kuna sehemu kaitaja Chadema? Kwahiyo mawakili wote waliompa kura ni wafuasi wa Chadema? Basi Chadema ina watu/vichwa.
Kwahiyo unamtisha Mwabukusi?! Wewe endelea kupiga Deki hapo Lumumba.Watashughulika nae vilivyo.
Mwabukusi ni MTETEZI wa WANANCHI ✊️Huyu Mwabukusi ni mtetezi wa chadema
Matatizo haya sisi wananchi tunajitakiaShisa majimboni watu wanahogwa kanga, Tshirt na kofia
Nenda kalishtaki Bunge.Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
Bunge la Mwendazake na historia ya namna lilivyopatikana unadhani linaweza kujadili hilo Swala?Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.