imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mbona Katibu Mkuu wenu kaingia Mitini?!Hapana.Tukutane kwenye mdahalo tuwagalqgaze na vijihoja vyenu uchwara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Katibu Mkuu wenu kaingia Mitini?!Hapana.Tukutane kwenye mdahalo tuwagalqgaze na vijihoja vyenu uchwara
Hawezi kumdharau Waziri Mkuu kumbuka mle ndani ni bungeni na kila mtu anayo mipaka yake. Hawezi kutanguliza kuheshimu cheo cha Waziri Mkuu halafu akaacha taratibu za uendeshaji wa bunge zijiendee tu, heshima yake kama spika itapotea kabisa.Uliwahi kusikia au kuambiwa kuwa Mwalimu Nyerere aliuita utekaji na raia kupotezwa kuwa ni "DRAMA"?
Kiongozi wa nchi, ataanzia wapi kuita matukio ya watu kutekwa na kuuawa kuwa ni 'Drama'!
Hili pekee linaonyesha kichwani ni patupu kabisa.
Huyo spika ni mmoja wa watu wa hovyo. Yeye kuelekeza Waziri Mkuu kujibu ni kumdharau huyo Waziri Mkuu mwenyewe.
Na bado huelewi. Sijui watu wa aina yako hadi muambiwe vipi ndio uelewe.Waliomo bungeni wana uchungu na taifa hili kuliko wewe unayesubiri makosa ndio ukosoe. Hakuna anayeweza kumdhalilisha waziri mkuu mahali popote hapa Tanzania.
Lakini mle bungeni mkubwa kuliko wote ni Spika, na yale ni masuala ya kikazi. Ukiyatazama kiudaku ndio unaweza kusema kuwa Spika kamdhalilisha Waziri Mkuu.
Basi sawa, wew mtetez wa CCM tujibie maswali aliyouliza apo au nayo ni maswali ya chadema?....Huyu Mwabukusi ni mtetezi wa chadema
Hawezi spika kumdhalilisha waziri mkuu, huo ndio ukweli. Mle bungeni waziri mkuu ni mdogo kimamlaka kuliko spika.Na bado huelewi. Sijui watu wa aina yako hadi muambiwe vipi ndio uelewe.
Mosi: Ukiniambia "Mle Bungeni kuna watu wenye uchungu na taifa hili..." kuliko uchungu walio nao juu ya maslahi yao binafsi, nitakuona wewe kichwani hazitoshi; na samahani sana kutumia lugha hii, kwa sababu wewe na mimi tunaelewana vizuri kupitia humu humu JF. Sijui kama utanielewa, kwa sababu wewe hapo unasukumwa na hali hiyo hiyo ya hao wabunge.
Pili, kuwa kiongozi wa Bunge haina maana umpangie majibu unaye mwongoza humo Bungeni. Spika kazi yake si kumwelekeza Waziri Mkuu ajibu vipi. Kama huko si kumdhalilisha wewe unakuita kuwa kitu gani?
Madaraka yake (spika), kwa kumpa majibu waziri mkuu anayotaka ayawasilishe yeye?Spika anapotumia madaraka yake kuna kosa lolote?
Siamini kwamba waziri mkuu anaweza kukosa uhuru wake kama waziri mkuu ni suala la uelewa wetu mdogo juu ya suala husika.Madaraka yake (spika), kwa kumpa majibu waziri mkuu anayotaka ayawasilishe yeye?
Hapa hakuna swala la kuwa mtu mkubwa au mdogo Bungeni. Spika hana madaraka ya kumtaka mbunge au Waziri Mkuu akubali majibu anayopewa na spika ayawasilishe. Spika hana mamlaka yoyote juu ya hilo.
Sasa wewe huamini, lakini Spika hana sababu yoyote ya kumpa mwongozo waziri mkuu ajibu vipi.Siamini kwamba waziri mkuu anaweza kukosa uhuru wake kama waziri mkuu ni suala la uelewa wetu mdogo juu ya suala husika.
Mnataka kusema spika ni dikteta?. Inakuwa vigumu kuamini kuwa hilo ni lengo lake haswa.Sasa wewe huamini, lakini Spika hana sababu yoyote ya kumpa mwongozo waziri mkuu ajibu vipi.
Awe au asiwe, huyo binti hazimtoshi kabisa kichwani, na pengine ndiyo sababu Magufuli alimuibua alikokuwa kabla ya yote.Mnataka kusema spika ni dikteta?. Inakuwa vigumu kuamini kuwa hilo ni lengo lake haswa.
Yupo vizuri sana kuliko hata Ndugai. Ni mtaalam wa sheria wa kiwango cha udaktari. Naamini wewe uelewa wako kuhusu anachokifanya bungeni ni mdogo kiasi cha kudhani anampangia waziri mkuu nini cha kuwasilisha.Awe au asiwe, huyo binti hazimtoshi kabisa kichwani, na pengine ndiyo sababu Magufuli alimuibua alikokuwa kabla ya yote.