Wakili Mwabukusi: IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda njoo jukwaani

Huyu bwege mwabukusi naye ameona ni fursa ya kutaka kujulikana kwa mgongo wa bandari
Wewe na yeye nani bwege?Mwabukusi anapigania rasilimali za nchi wewe unapigania nini?

Anayetafuta umaarufu si yule aliyebadikwa picha zake nchi nzima mabarabarani huko zinabadilishwa pozi na misemo tu
 
Mwakabusi simam

wanasaidia sn kupaza sauti kwa hawa wa

Mkùu wewe ni mzaĺalendo, mtanganyika mwenye akili timamu usioijali dini, kabila ukanda
 
Watu kama hawa hawakumbukwi halafu anakumbukwa nyerere, muasisi wa katiba ya hovyo kuwahi kutokea inayotutesa mpaka hii leo na chama lake ccm. Eti rais ashtakiwi!!!, nchi ya hovyo sana hii.
 
Hivi yeye na Mdude huwa wanafanya kazi saa ngapi? maana wao kutwa wapo kitaa. But hongera zao
Wanaharakati siku zote wanapataprofit kutoka kwa watu ambao hawawezi kusimama kusema hadhalani yaliyo moyoni mwao au MAKUNGURU

Lkn siku zote VITA VYA PANZI KUNGURU SIJUI KAFANYAJE
hapo sasa tuwe makini na MAKUNGURU tu wanatuangaliana tu
 
Lakini jamaa ni majasiri sn tuache utani
 
Wanachokifanya sasa wanapanda mbegu ya ujasiri hata wakifa wataibuka wengi zaidi,nani alijua angeibuka Mwabukusi?wengi hatukuwahi kumsikia,Kina Lissu tayari walishapanda mbegu haifi, ndio hizi zinaibuka leo
Unajua bado tuna Wazalendo, Watanganyika wenye kupiginai maslahi ya Tanganyika.
 
Watu kama hawa hawakumbukwi halafu anakumbukwa nyerere, muasisi wa katiba ya hovyo kuwahi kutokea inayotutesa mpaka hii leo na chama lake ccm. Eti rais ashtakiwi!!!, nchi ya hovyo sana hii.
Mƙuu tunabadilisha sheria⁹
O
 
Watu kama hawa hawakumbukwi halafu anakumbukwa nyerere, muasisi wa katiba ya hovyo kuwahi kutokea inayotutesa mpaka hii leo na chama lake ccm. Eti rais ashtakiwi!!!, nchi ya hovyo sana hii.
Mkuu katiba ile kwa nyakati zake huenda ilifaa hatuwezi kumlaumu,ladba tuwalalumu waliofuata maana mahitaji yalibadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…