Huyo hana lolote alikosa ubunge, sasa kaanza kampeni kijinga, kutafuta "sympathy", watu wameshamstukia, hana jipya.Mkuu regardless jamaa ana Serve for his Future interest, Ila mwamba ana Deserve sana uko mbele, Ameonesha ujasili Mkubwa sana na Uzalendo, May God be with him, Tunamuombea sana
Ifike mahali hawa viongozi wa dola waambiwe ukweli.Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa anajibu kwa bunduki akiwa nyuma ya ofisi za umma, amevaa magwanda ya kiaskari? Alisema.
Aache watujibu, tunauliza maswali ya kitaaluma.
Pia amekemea Viongozi waliojigeuza miungu watu, nanukuu;
"Nchi hii kuna watu wamejigeuza miungu watu, wao na familia zao wanataka kugeuza watanganyika kama ngo'mbe wao zizini, watuswage kwenda machungani na kuturudisha muda wanaotaka. Nataka kuwaambia kama walifikiri sisi ni makondoo tumeshageuka kuwa wanambuzi wakorofi na tumeshanyanyua mkia kama ngiri na hawatatufuga tena.
Wanajificha kwenye kichaka mara waseme mapinduzi,sijui uhaini,mara waseme udini, kote huko ni kukwepa kuwajibika, sasa wanataka kupeleka sheria ya hovyo bungeni ili kujusfy IGA, na hii tunawaambia wabunge that luxury is long gone, na kwa sababu tulishaenda Mahakamani na mahakama ikasema haina uwezo wa kuingilia mambo ya bunge, hatutaenda mahakamani tena, tutatumia nguvu ya umma kuleta uwajibikaji, we will not go to court again, we do not have that time.
Ajabu,wanang'ang'ana na sisi tunaodiclose ubovu wa mkataba wanayaacha majizi na majitu yaliyolileta hapa taifa, yanakula na kutafuta vitumbua kwenye ofisi za umma, halafu unakimbizana na bonafide person ambaye anakwambia kuna shida mahali?
Kwahio ndugu zangu narudia kusema tena,IGA ni uvamizi wa taifa letu kiuchumi, bandari ni lango kwa taifa letu, bandari ni urithi tuliopewa na Mungu. Hatuwezi kuwa taifa la ubwege kiasi hiki, mbuga za wanyama tumewapa wageni, nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Tizama mahoteli yanayojengwa Ngorongoro pale,huku wamasai wakifurushwa kama wanyama kutoka kwenye ardhi yao,leo unataka kuniambia Mwarabu ndio ana Ikolojia ya Ngorongoro kuliko Mmasai? That is stupid aspect.
Halafu tukisema,watu wanasema wachochezi. Jamani hili taifa ni kwa ajili yetu,sisi hatujawekwa hapa kuwa watumwa na watwana wa wageni, tuna haki ya kufaidi fursa za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo pamoja na kuzimiliki.
Kwahio, ndugu zetu mtuelewe, IGA sio nchi kwahio kuupinga haiwezi kuwa uhaini, IGA ni limkataba korokocho lililookotwa huko kizembe, watu wakafanya copy and paste wakifiri sisi ni mazuzu, tumelikataa."
MUNGU Mwenyezi atamlinda. Amen.Duuh! Huyu Mwamba Huyu. Apewe Maua Yake Ayanuse Mapema.
Maana Naona Si Muda Mrefu Wanaweza Wakamzima. Na Kama akishinda Battle Ya Chama Na Serikali Kwa Kweli Atastahili Kupewa Position Kubwa Hapa Tz Miaka Ijayo Kama Reward Ya Uzalendo Wake.
Huyu jamaa ana roho ya kimagufuri magufuriDuuh! Huyu Mwamba Huyu. Apewe Maua Yake Ayanuse Mapema.
Maana Naona Si Muda Mrefu Wanaweza Wakamzima. Na Kama akishinda Battle Ya Chama Na Serikali Kwa Kweli Atastahili Kupewa Position Kubwa Hapa Tz Miaka Ijayo Kama Reward Ya Uzalendo Wake.
Alishajibiwa mahakamani
KabisaIfike mahali hawa viongozi wa dola waambiwe ukweli.
Hili tamko liko sawa
Duuh! Huyu Mwamba Huyu. Apewe Maua Yake Ayanuse Mapema.
Maana Naona Si Muda Mrefu Wanaweza Wakamzima. Na Kama akishinda Battle Ya Chama Na Serikali Kwa Kweli Atastahili Kupewa Position Kubwa Hapa Tz Miaka Ijayo Kama Reward Ya Uzalendo Wake.
Hana kabisa. Yeye ni Rebuilding tu. Ndiyo majibu tosha. Yanini kuandikia mate na wino upo?
Mahakamani yeye hakupeleka kesi,ile ni ya wateja wakeAlishajibiwa mahakamani
Reform unaifahamu maana yake?Ulikuwa unasema wameufyata,
Na tumeshajua kumbe, Dubai Wala hawahusiki, mhusika ni DP world wa mchongo.
Tutafahamiana time hii!!
Wakuu,
Akihojiwa na waandishi wa habari siku chache baada ya kuachiliwa na polisi kwa dhamana, wakili Mwabukusi amenukuliwa akisema."
Nataka nimwambie wazi IGP hatukuogopi, upo hapo kikatiba na kisheria, ukitaka siasa vua magwanda,toka kwenye bunduki njoo jukwaani." Hoja zetu za kisiasa anajibu kwa bunduki akiwa nyuma ya ofisi za umma, amevaa magwanda ya kiaskari? Alisema.
Aache watujibu, tunauliza maswali ya kitaaluma.
Pia amekemea Viongozi waliojigeuza miungu watu, nanukuu;
"Nchi hii kuna watu wamejigeuza miungu watu, wao na familia zao wanataka kugeuza watanganyika kama ngo'mbe wao zizini, watuswage kwenda machungani na kuturudisha muda wanaotaka. Nataka kuwaambia kama walifikiri sisi ni makondoo tumeshageuka kuwa wanambuzi wakorofi na tumeshanyanyua mkia kama ngiri na hawatatufuga tena.
Wanajificha kwenye kichaka mara waseme mapinduzi,sijui uhaini,mara waseme udini, kote huko ni kukwepa kuwajibika, sasa wanataka kupeleka sheria ya hovyo bungeni ili kujusfy IGA, na hii tunawaambia wabunge that luxury is long gone, na kwa sababu tulishaenda Mahakamani na mahakama ikasema haina uwezo wa kuingilia mambo ya bunge, hatutaenda mahakamani tena, tutatumia nguvu ya umma kuleta uwajibikaji, we will not go to court again, we do not have that time.
Ajabu,wanang'ang'ana na sisi tunaodiclose ubovu wa mkataba wanayaacha majizi na majitu yaliyolileta hapa taifa, yanakula na kutafuta vitumbua kwenye ofisi za umma, halafu unakimbizana na bonafide person ambaye anakwambia kuna shida mahali?
Kwahio ndugu zangu narudia kusema tena,IGA ni uvamizi wa taifa letu kiuchumi, bandari ni lango kwa taifa letu, bandari ni urithi tuliopewa na Mungu. Hatuwezi kuwa taifa la ubwege kiasi hiki, mbuga za wanyama tumewapa wageni, nenda kule,unaingia unaambiwa 'now you are entering the United Arab Kingdom' ndani ya nchi?
Tizama mahoteli yanayojengwa Ngorongoro pale,huku wamasai wakifurushwa kama wanyama kutoka kwenye ardhi yao,leo unataka kuniambia Mwarabu ndio ana Ikolojia ya Ngorongoro kuliko Mmasai? That is stupid aspect.
Halafu tukisema,watu wanasema wachochezi. Jamani hili taifa ni kwa ajili yetu,sisi hatujawekwa hapa kuwa watumwa na watwana wa wageni, tuna haki ya kufaidi fursa za kijamii, kiuchumi na kimaendeleo pamoja na kuzimiliki.
Kwahio, ndugu zetu mtuelewe, IGA sio nchi kwahio kuupinga haiwezi kuwa uhaini, IGA ni limkataba korokocho lililookotwa huko kizembe, watu wakafanya copy and paste wakifiri sisi ni mazuzu, tumelikataa."
Ni kweli, ana rebuild picha zake na kuzisambaza nchi nzima barabarani,chawa wanamshangiliaHana kabisa. Yeye ni Rebuilding tu. Ndiyo majibu tosha. Yanini kuandikia mate na wino upo?
Ukishaielewa falsafa yake ya RRRR utamshangilia kisirisiri.
Hapa nimepitia kuwajulisha watu kuwa huyo mshamba alikosa ubunge, sasa ni kama nyoka aliyejeruhiwa, anautafuta kwa kila hali.Bibi kwanini usibaki kule kwenye Uzi wako wa mapambio wa RRRR, mana uzi huu unakukataa Unapwaya sana apa
Wataua ila hawatawamaliza, wataibuka wengine