SI KWELI Wakili Mwabukusi na Mdude hawajulikani walipo, leo Agosti 28, 2023

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kwenye kutafuta ukombozi, huwa kuna gharama kubwa sana, ila mwisho wa siku ushindi hupatikana.
 
Mbona anafanana na Ole sabaya huyo hapo pichani
 
Jamani kueni makini watu walikula viapo kua lazima watawapa bandali.
 
Kuna muda mtu unashikwa na hasira mpaka unakosa cha kuandika.
 
nchi imefunguka
ya bwana yule yote yalishasahaulika
 
Kuna namna hao watu hawapo sawa kisaikolojoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…