Mbona nyie maccm mnampigia debe Sultan Mbowe.Mwabukusi wewe si NCCR subir uchaguzi mkuu umpigie kura za Urais.
Hayo unayosema ni mazur kwenye nafasi za kiserikali sio kwenye chama cha siasa...
HakikaWakuu,
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea
View attachment 3194083
Labda muibe tu? Na Lissu mnamjua!! Mkiiba ndio mwisho wa chadema maana huwa hakubali kuonewaLissu akishinda uchaguzi nipigwe ban ya mwaka mzima
Narudia tena huu uchaguzi lissu hatoboiLabda muibe tu? Na Lissu mnamjua!! Mkiiba ndio mwisho wa chadema maana huwa hakubali kuonewa
Mbona wewe ni chawa wa ccm na unampigia debe Mbowe?Mwabukusi wewe si NCCR subir uchaguzi mkuu umpigie kura za Urais.
Hayo unayosema ni mazur kwenye nafasi za kiserikali sio kwenye chama cha siasa...
Sawa Mmachame, usikimbie tu humu JF.Narudia tena huu uchaguzi lissu hatoboi
Taerehe 21 sio mbali mkuuSawa Mmachame, usikimbie tu humu JF.
Mbowe mitano tenaHivi hadi hapa tulipofikia Mbowe haoni ulazima wa kujitoa kwenye uchaguzi akastaafu kwa amani na heshima?
Kila mmoja anamkataa, tena hadharani!
Kama kila mmoja anamkataa basi si muda tu ndio utasema na hao wapiga Kura watamkataa ? Au tunawachukulia uamuzi wapiga Kura ?, Ukizingatia sisi wasemaji wengine hata Kura hatupigi....Hivi hadi hapa tulipofikia Mbowe haoni ulazima wa kujitoa kwenye uchaguzi akastaafu kwa amani na heshima?
Kila mmoja anamkataa, tena hadharani!
Na TLS mzuri nani baada ya weye kuwa chawa wa Rais wetu?Wakuu,
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea
View attachment 3194083
Lisu hafai kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na hawezi kushindaWakuu,
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea
View attachment 3194083
Badala ya kujikita zaidi kwenye taaluma ya taasisi ya TLS kutwa kucha yupo polarized na mtizamo hasi kwa wenzie hasa huko CDM.Wakuu,