Wakili Mwabukusi: Tundu Lissu sio malaika lakini yeye ndio chaguo sahihi kwa CHADEMA

Wakili Mwabukusi: Tundu Lissu sio malaika lakini yeye ndio chaguo sahihi kwa CHADEMA

Kama kila mmoja anamkataa basi si muda tu ndio utasema na hao wapiga Kura watamkataa ? Au tunawachukulia uamuzi wapiga Kura ?, Ukizingatia sisi wasemaji wengine hata Kura hatupigi....

Sababu hapa kama issue ni TATIZO la wapiga Kura / Upigaji Kura, Wizi au System iliyopo basi kubadilisha aliyepo juu hakutabadilisha ubovu wa hio System (Na sidhani kama kubadilisha mtu ndio kipimo cha Demokrasia, unaweza ukawa unabadilisha makapi every so often au kuondoa anayefaa wakati bado anahitajika) Ukizingatia wapiga Kura ndio wanaelewa (unless hawaelewi); Pia kama aliyepo Juu ana nguvu kubwa kuliko wengine waliopo chiji at any given time basi hio sio Demokrasia bali ni Dictatorship (Na sidhani yoyote atakayechukua hiki kiti atabadilisha that fact)

Kizazi cha Magufuri.
 
Back
Top Bottom