FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Jul 8, 2023 #141 Ulimboka siku hizi yuko wapi?
Lituye JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 1,864 Reaction score 5,695 Jul 8, 2023 #142 Hao hawastahili kujiuzulu tuu bali kuuawa kwa kulisaliti taifa kwa vipande vya fedha.
G Gangala JF-Expert Member Joined Nov 6, 2022 Posts 699 Reaction score 701 Jul 8, 2023 #143 zandrano said: upuuzi mtupu. hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa. Click to expand... Wanawatetea watoto na wajukuu wako we subiri Acha kejeli
zandrano said: upuuzi mtupu. hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa. Click to expand... Wanawatetea watoto na wajukuu wako we subiri Acha kejeli
denooJ JF-Expert Member Joined Mar 31, 2020 Posts 18,509 Reaction score 68,228 Jul 8, 2023 #144 FaizaFoxy said: Ulimboka siku hizi yuko wapi? Click to expand... Muulize JK
B bin haroub JF-Expert Member Joined Jun 19, 2023 Posts 1,662 Reaction score 812 Jul 8, 2023 #145 Exorcist said: Ifahamike, Tanganyika hatukumtuma Rais kusaini hizo takataka, hatuhusiki, wamalizane na mpwa wao wenyewe..., wasituhusishe. Click to expand... Hiyo Tanganyika wenyewe iko wapi?
Exorcist said: Ifahamike, Tanganyika hatukumtuma Rais kusaini hizo takataka, hatuhusiki, wamalizane na mpwa wao wenyewe..., wasituhusishe. Click to expand... Hiyo Tanganyika wenyewe iko wapi?
Z zandrano JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 7,893 Reaction score 8,816 Jul 8, 2023 #146 Gangala said: Wanawatetea watoto na wajukuu wako we subiri Acha kejeli Click to expand... hawajui lolote zaidi wanapoteza muda wao na pesa bure. sisi wananchi tunahitaji uwekezaji kwenye Bandari yetu ili kukuza uchumi wa nchi yetu hao wanao pinga jambo hilo sio raia.
Gangala said: Wanawatetea watoto na wajukuu wako we subiri Acha kejeli Click to expand... hawajui lolote zaidi wanapoteza muda wao na pesa bure. sisi wananchi tunahitaji uwekezaji kwenye Bandari yetu ili kukuza uchumi wa nchi yetu hao wanao pinga jambo hilo sio raia.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jul 8, 2023 #147 Ngoja tuone...