Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Ngoma inogile:

View attachment 2677538

Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.

View attachment 2677540

Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
Kumbe Bunge limetudanganya kwamba wao wamepitisha makubaliano na sio mkataba wakati Huku wenzetu Wana sema iga ni nkataba
Is an IGA a contract?


An IGA is defined as a contract between two or more public agencies or public procurement units for services or for the joint exercise of any powers common to the agencies.31 May 2018
 
Sikikize Wakili Boniphace Mwabukusi,wakili aliyejitoa kutetea Tanganyika isiuzwe.
 

Attachments

  • VID-20230704-WA0196.mp4
    19.8 MB
Msikilize Wakili Dkt Nshala Rugemeleza,yeye anasema Rais ametenda uhaini kwa kutaka kuiuza Tanganyika.
 

Attachments

  • VID-20230704-WA0201.mp4
    20.1 MB
Mwabukusi lazima tumpe ubunge wa MBEYa Mjini akapambane nao huko huko bungeni
 
upuuzi mtupu.
hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.
Kuwapa wananchi maji ni kazi ya Serikali. Au nalo wanataka afanye DP World?
 
Ngoma inogile:

View attachment 2677538

Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.

View attachment 2677540

Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
kwa wasiomjua mwabukusi,ni mwanasheria mzuri sana, zamani alikuwa mwanasheria serikalini huko mawizarani, akafungua firm za kupractice na wenzake Arusha kwa miaka mingi, akahamia mbeya ambako ni nyumbani kwao chini ya chadema na amegombea ubunge busokelo au mbeya mjini (kama sikosei) mara kadhaa na kura hazikutosha. kama anataka kumwondoa Tulia Mbeya mjini, ashikilie hapohapo kwenye dipiwedi, asiachie hadi wananchi wamwelewe.
 
Kosoa maandish ila we are differ from thinking capacity and attitude and making decisions
Very good points, I advise you to join the people to oppose our ports being given DPword for an endless contract

Usipuuze, na ukipuuza basi subiri mafuriko
 
Wengi ni wajinga, hasa vijana na ndio maana hata viongozi wanapata nguvu ya kuwadanganya eti walichosaini sio mkataba ni makubaliano tu, mikataba inafuata. Tangu lini Bunge likawa na mamlaka ya kuridhia makubaliano?
Wewe ni kichwa maji fulani. Linaitwa azimio la makubaliano. Kwa ukubwa wa mradi mzima wa DP ililazimu bunge liwe ndio mdhamini wa nchi. Taasisi kubwa inapokuja kufanya biashara na nchi ni bunge linalokuwa mdhamini.
 
Toka lini Bunge likaridhia makubaliano Someni ibara ya 63 ya katiba ya Tanzania, tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge, Mali za Tanganyika zimehatarishwa.
Mnapoteza muda kuamini hao wanasheria, kesi yao inakwenda kutupiliwa mbali. Dr Tulia ni mbobezi wa sheria za nchi.

Hao wapuuzi wanasheria wanasumbuliwa na ujuaji ule ule wa kitanzania, kudhani wanajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom