Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

...tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge,Mali za Tanganyika zimehatarishwa.!![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.​
Wajombaaa ni mama jamani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu![emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
HAPA HAMNA KUPOTEZA. HII PEKEE NI USHINDI MAANA NI SAWA MTU ALIYEBANWA NA MLANGO ANAZIDI KUPIGA KELELE ILI ANUSURIKE ASIFE. HATA KAMA ATAZIDIWA NA WALIOMBANA NA AKAFA. HISTORIA ITABAKI KUWA HAKUNYAMAZA, ALIPIGANIA UHAI WAKE. HATA UKIFUKUZWA NA SIMBA, KIMBIA HATA KAMA ATAKUKAMATA LAKINI ULIWEKA JUHUDI ZA KUJIOKOA. HIVI SIO KWELI ALIYEPOST HIVI, NANUKUU"Hivi watu wana muda wa kupotezaa eeh?? Huyo Jaji na mahakama yake akipigiwa cm 1 tyuuh anafuta case na shauri zake zote.

Watumie njia nyinginee, hii wanajichosha buree tyuuh,.
 
Watanzania wengi hawajui chochote wanaamka asubuhi kupambana na maisha maskini.
Watanzania wengi ni Maskini wanaamka wanawaza kula yao ya cku inaishaje ndo mana waliyopo madarakani wanachezea mali za nchi, watanzania wengi hawana habari Kama tumeuzwa
 
Makubaliano yenye vifungu vya kufungana hadi kupelekana mahakamani South Africa na kesi kuendeshwa kwa kiingereza, makubaliano tu hadi kupelekana kwa koti, hii hata mtoto wa chekechea ngumu kumdanganya.
Walivyo wa ajabu Hawa watawala wanajua kabisa wanasheria wa serikali kiingereza kwao ni mwiko alafu wameweka hayo mashariti. Yaani wamebariki ttuuzweeee kweupe duuuuuh
 
Mpuuzi ni nani sasa hapo, ni aliyesaini mkataba na kuja kutuambia si mkataba walisaini bali ni makubaliano, au mpuuzini yule anayesema serikali inadang'anya wananchi?

N.B:
Nimeona kwenye mkataba kuwa Mama alitoa kibali kwa waziri kusaini huo mkataba tar 3 october 2022, na waziri alisaini huo mkataba tar.25 october 2022.
Top wa nchi ndo shida wengine wanafuata alichowaagiza fuulll stoop
 
Tufanyeni maandamano nchi nzima kama iwake iwake tu..wanzania wenyewe washachoka
 
Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.​
Huyu bibi alipopata urais alielekea kwa wajomba zake huko kuchukua maelekezo ya namba bora ya kuusimika utawala wa Sultani Tanganyika. Yaonekana walimwelekeza akabidhi kila kitu cha Tanganyika kwa njia ya mikataba ya milele. Na atakapoumaliza ufalme wake huku Tanganyika, atapewa hadhi na heshima ya pekee kama mama wa kiarabu aliyefanikiwa kuwadidimiza vibaradhuli weusi waliojitia ujuaji na kuitawala Zanzibar.
 
Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
Own goal unaiona wapi ndugu?

Wapi inapozuiliwa kutoa maoni yako kuhusu kesi?

Hatuwatishi, msitutishe. Tusitishane!

Habari ndiyo hiyo.
 
HAPA HAMNA KUPOTEZA. HII PEKEE NI USHINDI MAANA NI SAWA MTU ALIYEBANWA NA MLANGO ANAZIDI KUPIGA KELELE ILI ANUSURIKE ASIFE. HATA KAMA ATAZIDIWA NA WALIOMBANA NA AKAFA. HISTORIA ITABAKI KUWA HAKUNYAMAZA, ALIPIGANIA UHAI WAKE. HATA UKIFUKUZWA NA SIMBA, KIMBIA HATA KAMA ATAKUKAMATA LAKINI ULIWEKA JUHUDI ZA KUJIOKOA. HIVI SIO KWELI ALIYEPOST HIVI, NANUKUU"Hivi watu wana muda wa kupotezaa eeh?? Huyo Jaji na mahakama yake akipigiwa cm 1 tyuuh anafuta case na shauri zake zote.

Watumie njia nyinginee, hii wanajichosha buree tyuuh,.
 
Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
Lakini nakuambia Mark ma word bro huu mkataba hata ukipita akija rais mwingine atauvunja kwa any cost hutaamin.
 
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .
Locuta causa finita ! Kwa kilatini ! Katiba bora ndio mpango mzima mengine ni kujidanganya tu ! Mark my words !!
 
20230704_064156.jpg
20230704_064205.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumeshaangamia.Hayupo wa kututetea zaidi ya kumwelekea Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom