Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Wangwe Jr atafika mbali sana! Mwakabusi ni Fire amepiga kwenye Mshono.

Heche kama umezuiliwa Star Tv basi fanya streaming tumia social media uweke madini hata Youtube.
 
Imekua je tena? Huwezi kua hakimu kwenye shauri lako mwenyewe " you can't be a judge in your own case"....... its time wasting and officially legalising Dp world to take over the port watakua backed na support ya mahakama, hiyo mmejifunga wenyewe inaitwa own goal.....
Hii sheria yako ulisomea wapi?
 
Ukiwasikiliza baadhi ya wanaCCM hawa wa enzi ya Rais wa sasa, huwezi kuamini kama ndio hawa hawa aliowaacha Magufuli. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walitaka kutoana meno na watu kisa Makinikia. Huwezi kuamini kama ndio hawa hawa walikuwa wakiwaita wazungu mabeberu.

Nimesema baadhi kwasababu nafahamu WanaCCM wengi sana ambao wapo kinyume na huu ujinga wa kuwapa bandari waarabu!
Na hili suala Mkuu watu wanalichukulia kimzaha lkn yaweza kuwa cheche au njiti ya kiberiti itakayokuja kuiteketeza msitu. Wacha waendelee kuziba masikio yao.
 
Na hili suala Mkuu watu wanalichukulia kimzaha lkn yaweza kuwa cheche au njiti ya kiberiti itakayokuja kuiteketeza msitu. Wacha waendelee kuziba masikio yao.

Walisema mdharau mwiba ..
 
Hixi ndio zake👇👇
 
Attachments

  • AD0F21E4-480F-4A17-8D5E-526D81B5B03F.jpeg
    AD0F21E4-480F-4A17-8D5E-526D81B5B03F.jpeg
    94.3 KB · Views: 2
Hii kitu inatakiwa Emarate ishitakiwe kwa kuharibu umoja wetu watanzania... pumbavu sana madevu wa Dubai
 
Ni kawaida ya watanzania kuuliza badala kwa kujibu kwa hoja.

Ila ni kawaida ya wana wa nchi ipi kujifanya majaji na kubariki hukumu ba mahitimishi yao hata kwenye wasiyoyajua badala ya kujibu kwa hoja?
 
Ila ni kawaida ya wana wa nchi ipi kujifanya majaji na kubariki hukumu ba mahitimishi yao hata kwenye wasiyoyajua badala ya kujibu kwa hoja?
Mkuu kuna principles za sheria "you can't be a judge in your own case" unaipinga hiyo ? Nchi za Africa zote ukiondoa chache mhimili wa mahakama hauko independent uko entangled na executive, sio kweli?
 
Back
Top Bottom