Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Ngoma inogile:

View attachment 2677538

Kwenu chawa na watajwa wote habari ndiyo hivyo.

View attachment 2677540

Rasilimali ni za wananchi. Kwenye hilo tutaelewana tu!
65e182e8abb797f17356fc149e85bb7f.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu wananchi bado wanaamini CCM ndio chama kinachoweza kuwavusha ktk bahari ya umaskini...hakika watanzania tumelishwa limbwata!!
Watanzania wengi hawajui chochote wanaamka asubuhi kupambana na maisha maskini.
 
Makubaliano yenye vifungu vya kufungana hadi kupelekana mahakamani South Africa na kesi kuendeshwa kwa kiingereza, makubaliano tu hadi kupelekana kwa koti, hii hata mtoto wa chekechea ngumu kumdanganya.
 
upuuzi mtupu.
hizo pesa wanazo tumia mawakili ni bora wange chimba visima wananchi wapate maji kuliko kupoteza muda na pesa.

Mpuuzi ni nani sasa hapo, ni aliyesaini mkataba na kuja kutuambia si mkataba walisaini bali ni makubaliano, au mpuuzini yule anayesema serikali inadang'anya wananchi?

N.B:
Nimeona kwenye mkataba kuwa Mama alitoa kibali kwa waziri kusaini huo mkataba tar 3 october 2022, na waziri alisaini huo mkataba tar.25 october 2022.
 
Ni kweli hasa ukizingatia wamefungua kesi kwenye mahakama za ndani ambazo haziko huru.
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .
 
Cha ajabu wananchi bado wanaamini CCM ndio chama kinachoweza kuwavusha ktk bahari ya umaskini...hakika watanzania tumelishwa limbwata!!
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .
 
Mwarabu ndiye aliyefanya biashara ya utumwa akaja.mwingereza akamtimua inabidi tudai na fidia tuandae ombi kwa UN
Tanzania Sheria zipo za maonyesho,mtanzania yeyote makini anajionea namna katiba na Sheria za nchi zinavyochezewa Kama vumbi na ikulu na hakuna Cha kumfanya mtake msitake mahakamani mnapoteza mda wenu au mnataka muonekane kuwa mpo wanasheria .
 
Wengi ni wajinga, hasa vijana na ndio maana hata viongozi wanapata nguvu ya kuwadanganya eti walichosaini sio mkataba ni makubaliano tu, mikataba inafuata. Tangu lini Bunge likawa na mamlaka ya kuridhia makubaliano?
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
Toka lini Bunge likaridhia makubaliano Someni ibara ya 63 ya katiba ya Tanzania, tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge, Mali za Tanganyika zimehatarishwa.
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
Hao wafukuzwe kama mbwa, mkataba waliosaini ni wa kimangungo
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
Wakili Boniphace Mwabukusi;

Spika avuliwe uspika,Waziri Mbarawa na katibu wake waondoke kwa kuhatarisha Mali za Tanganyika.

404: Page Not Found
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
Na pengine waliomshauri hili wamekaa sehemu wanamcheka. Tena nadhani walimshauri wakitaka kummaliza kabisa kisiasa. Asitamanike,watu wamchukie wamuone hatoshi.

Wamefanikiwa kwa 99%
Wajinga ndiyo waliwao. Tanzania kumejaa wajinga tena mbaya zaidi wapo serikalini na vyeo vyao na maposho wanakula hadi wamevimbiana na wanashangilia hata Kama nchi inatumbukia kuzimunj.So sad Tanzania [emoji24]
 
Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.​

Back
Top Bottom