Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Wakili Mwakabusi atoa wito kwa Spika wa Bunge na Mbarawa wajiuzulu kutokana na mkataba wa DPW

Wakili Boniphace Mwabukusi;

Spika avuliwe uspika,Waziri Mbarawa na katibu wake waondoke kwa kuhatarisha Mali za Tanganyika.

404: Page Not Found
 
Na pengine waliomshauri hili wamekaa sehemu wanamcheka. Tena nadhani walimshauri wakitaka kummaliza kabisa kisiasa. Asitamanike,watu wamchukie wamuone hatoshi.

Wamefanikiwa kwa 99%
Kwenye hili la mkataba wa bandari adui mkuu ni Samia hao wakina Mbalawa ni vijidagaa.
 
Poleni sana Sukuma gang
Kama wew unatokea familia ya kawaida, na siyo hizo za mafisadi, wanafiki, wenye kujifanya Wazalendo wa Taifa ungekuwa na akili yenye kutathimin mambo kwa kina., ila kama unatokea hizo familia endelea na mteremko ila kaa ukijuwa mbele kidogo kuna mlima.
 
Baada ya mwarabu kuwauza wazee wetu kama watumwa bila ridhaa yao enzi hizo, leo hii tunauzwa utumwani na ngozi nyeusi wenzetu tuliowaamini na kuwapa madaraka ya kutuongoza.......maisha yanaenda kasi sana.​
 
Mimi sio kama wewe mbuzi wa mayai unaesubiri kuelimishwa na wakina Zimbwela kuhusu huo mkataba wa ovyo.
I read,I contemplate, I judge.
Ungekuwa unajua manufaa ya mkataba usingelopoka ujinga wako
 
Back
Top Bottom