Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Chawa ni umempendelea.Wewe ni chawa, au una vinasaba na watajwa kwenye sakata hilo?
Huyo ni Mbumbumbu , anayehitaj msaada aeleweshwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chawa ni umempendelea.Wewe ni chawa, au una vinasaba na watajwa kwenye sakata hilo?
Una maana Samia chini ya Magufuli, "alibadilika" baada ya Magufuli kuondoka, au ni Samia yule yule ambaye alikuwa kavaa ngozi ya kondoo wakati wa Magufuli?Kweli watu wanabadilika kutokana na mazingira aisee
Acha kubeza adui ni wewe kwasababu ujapata elimu ya mkataba basi unaamua kuropkaKwenye hili la mkataba wa bandari adui mkuu ni Samia hao wakina Mbalawa ni vijidagaa.
Kwenye hili la mkataba wa bandari adui mkuu ni Samia hao wakina Mbalawa ni vijidagaa.
Ni vinyonga zaidi ya vinyonga wenyeweKweli watu wanabadilika kutokana na mazingira aisee
Kama wew unatokea familia ya kawaida, na siyo hizo za mafisadi, wanafiki, wenye kujifanya Wazalendo wa Taifa ungekuwa na akili yenye kutathimin mambo kwa kina., ila kama unatokea hizo familia endelea na mteremko ila kaa ukijuwa mbele kidogo kuna mlima.Poleni sana Sukuma gang
Mimi sio kama wewe mbuzi wa mayai unaesubiri kuelimishwa na wakina Zimbwela kuhusu huo mkataba wa ovyo.Acha kubeza adui ni wewe kwasababu ujapata elimu ya mkataba basi unaamua kuropka
Ungekuwa unajua manufaa ya mkataba usingelopoka ujinga wakoMimi sio kama wewe mbuzi wa mayai unaesubiri kuelimishwa na wakina Zimbwela kuhusu huo mkataba wa ovyo.
I read,I contemplate, I judge.
...tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge,Mali za Tanganyika zimehatarishwa.!![emoji419][emoji375]Toka lini Bunge likaridhia makubaliano Someni ibara ya 63 ya katiba ya Tanzania,tupo mahakamani kufanya kazi waliyoshindwa Wabunge,Mali za Tanganyika zimehatarishwa.