CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Yule ni mbilikimo katika tasnia ya sheria ni vilaza tu kama wewe na mleta mada ndiyo wanamfagiliaMoja kati ya mawakili bora kabisa, ana utulivu mkubwa. Anakuacha uropoke, ubwabwaje. Yeye anakuja na fact tu. Ndio maana wafuasi wa Braza K wana m blackmail.
Aliyeshtaki ni Nassoro au Jamhuri?Hapo unamuona hana papara Kwa kuomba kuahirishwa kesi hadi wiki mbili? Ngoja kesi ianze, utajua nani mkali. Lakini kazi ya uwakili unafahamu kuwa ni kazi inayohitaji kuwa mtu smart? Hata amri ya MUNGU inaeleza kuwa usimshitaki mtu Kwa uongo?
Siyo km yule lofa anapayuka hovyo, sijui anahubiri au anafundisha hasa akiwa mbele za watu anapanic kabisa.Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.
Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.
He knows when to react, What to provoke, how to influence, who to protect and further he embrace, endure and anticipate the future moves of the opponent.
Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.
Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
We ulikimbia shule hauna unachoelewaUnakuwa wakili wa serikali, unalipwa mshahara kutokana na kodi wananchi! halafu unakubali kusimama mahakamani kumshtaki mwananchi mlipa kodi, kwa makosa ya uongo!! Huo ni upuuzi.
......kusimamia maslahi ya Taifa na walipa kodi! Na siyo maslahi ya kikundi cha wahuni wachache.ulitegemea wakili wa serikali awe na kazi ya kusimamia mashtaka ya wakenya?
Marco Polo ni mmoja tu.humu jamvini alikuwako @Themarcopolo wa ukweli sijui anatumia ID gani kwa sasa
Farijianeni jinsi haki zinavyo najisiwa.Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.
Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.
He knows when to react, What to provoke, how to influence, who to protect and further he embrace, endure and anticipate the future moves of the opponent.
Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.
Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Sema tena kama alivyo Funuku,🤔Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.