hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Ngoja tuone
Huyu sheikh mwenyezi Mungu amsitiri tu huko alipo Amen
Kumbe ni homeboy kabisa?ungekuwa unaishi kahama maeneo ya nyasubi usinge leta mada za kinyeo tuliye mjua
Kumbe wewe hii ndio picha yako?Nimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.
Nilichogundua ni kwamba yu msomi kwelikweli hana mihemuko lakini intellectual strike capability ni kubwa.
He knows when to react, What to provoke, how to influence, who to protect and further he embrace, endure and anticipate the future moves of the opponent.
Kimsingi ameshazua hofu kubwa kwa wazee wa mihemuko na sasa wamemjua na wameanza kumfanyia personal attack.
Mungu amjaalie heri katika kazi yake.
Huu utoto rudisha facebookKumbe wewe hii ndio picha yako?
View attachment 3666572
Kumbe wewe hii ndio picha yako?
View attachment 3666572
ChaiNimeanza kumfuatilia kwa karibu wakili huyu katika kesi hii yenye kuvuta hisia za wengi.