Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
We jamaa usiseme hivyo, utadakwa mchana kweupe na huna utakachofanyaNipo SA siwezi kutoa msaada Tz ingawaje mimi hata nikiwa huko siwezi kutekwa ntaenda nao wote motoni..
We jamaa usiseme hivyo, utadakwa mchana kweupe na huna utakachofanyaNipo SA siwezi kutoa msaada Tz ingawaje mimi hata nikiwa huko siwezi kutekwa ntaenda nao wote motoni..
Nishakwambia siwezi mazee nimeishi Soweto na Khayelitsha miaka 27 nije nitekwe Tanzania aisee huku siraha mtoto mdogo anatumia kama anakula big g..We jamaa usiseme hivyo, utadakwa mchana kweupe na huna utakachofanya
Umeishi Soweto kwa Luckydube....hahahaNishakwambia siwezi mazee nimeishi Soweto na Khayelitsha miaka 27 nije nitekwe Tanzania aisee huku siraha mtoto mdogo anatumia kama anakula big g..
wewe akili zako ziko kwenye mkvndu wako,unashangaa huyo kufatiliwa na askari 7 badala kumshangaa mama yako macho kuvimba anapambana na NIFFAROna certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
Mbona walihangaika na Niffer? Kwa lipi?Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
Ndio nipo huku msizwa..Umeishi Soweto kwa Luckydube....hahaha
ONA PUMBAVU HILIONA ZEZETA HILI
Habari za huyu Mwamba zimeishia wapi?Hatari sana
Hili Bumunda nilishalizarau siku nyingi sana..Ona certified fool huyu yaani Watu saba wahangaike na Mtu mmoja mwepesi kabisa kama huyu uliyemtaja? Kwanini mnakuwa Wapumbavu hivi, Wazushi na wapenda Matatizo yawatokee? Na najua Wapumbavu wenzako hapa watakuwa wamekuamini sana tu kwa huu Uwongo wako tukuka.
Huyu ni wa kupuuza sanaHili Bumunda nilishalizarau siku nyingi sana..