Wakili Peter Kibatala amuumbua IGP Simon Sirro katika Sakata la kesi ya Freeman Mbowe

Character assassination, kwanini ushambulie taaluma ya mtu?? Na unadhani kazi ya wakili ni kushinda kesi mahakamani?? Au unadhani wakili mzuri anapimwa kwa kushinda kesi mahakamani?? Usijigeuze afisa masoko wa mawakili unaowapenda wewe,hairuhusiwi katu.
 
Nikimkumbuka huyo ZIRRO ambaye ni mkubwa wa mapolisi nabaki nacheka....Hivi kweli kwanza zile sarakasi za kumteka MO Dewji ziliishaje? Na zile CCTV za kufoji? Huyu polisi mkubwa anajishusha sana na ujinga anaofanya. Ni aibu
 
Watendaji wote wanafanya kazi kichama,wanaloambiwa ndilo wanalofanya bila kujali wako pale kwa muda tu
 
Hawa ndio mawakili walioenda shule na wakaelimika, na ndio wanaopaswa kuitwa "wakili msomi".

Polisi mkuu anaizungumzia kesi ambayo ipo mahakamani na yeye ndiye shahidi!!
Only in Tanzania!
Tena akiwa amepanic as if kamkamata kiongozi wa Alshabab! kumbe ni mtu wa watu
 
Mambo ya usalama wa ndani ya nchi yatabaki kuwa ya nchi.
Tanzania is a sovereign coutry.
ila Chadema hakikufaa kabisaa kuwa chama cha upinzani nchini Tanzania kwa tabia ya mara kwa mara wanayo ionyesha inapo tokea jambo lolote basi wanaenda kuichongea Tanzania kwa mataifa makubwa wakitegemea Viongozi wetu wataogopa!! thubutu!!!! kamwe tusivumilie tabia hii ya kizandiki!!! labda wakafanye siasa zao Burundi lkn sio Tz..
Tunaomba viongozi wetu wasiyumbe kabisa, wawe imara kusimamia sheria za nchi.
Demokrasia sio kuvunja amani.
 
Siro niliyemjua, alikuwa smart Sana! Nashindwa kujua ninini wataalam na wasomi wetu huwa wanakutana nacho wakisha funga ndoa na CCM. Maana wanageuka kuchekesho na na wa hovyo isivyoelezeka.!
Akili zinahamia tumboni😆😆😆
 
Baada ya kuahidiwa ubunge baada ya kustaafu utu uhuweka nyuma.
Kumbuka hawawezi ishi nje ya mshahara wakistaaafu hawa hata wakipewa bilioni 10 miezi 6 tu zimeisha.
Njia salama ni kujipendekeza kwa ccm ije iwaonee huruma.
 
Haya maelezo hayazuii mtuhumiwa kukutwa na tuhuma za ku_finance Ugaidi. Kesi iko palepale. Kapambaneni Mahakamani.
 
Sirro ni mwanasheria pia, anajua anachokisema!
Sirro ni mkamataji akishakamata anampelekea mwendesha mashitaka hapo ndipo kazi yake inapoishia. Sirro hatakiwi kuendesha kesi na kutoa uamuzi dhidi ya mtuhumiwa, huko ni kuishawishi mahakama ukizingatia yeye na hakimu wote huapishwa na Rais na hicho ndicho kilichomfanya Rais naye azungumzie uhalifu(sic) wa Mbowe! Swali, huyo ni mwanasheria au mwanasiasa?
 
Sasa wanakijani mnalalama nini, mkitaka ache uovu wenu, hamtasemwa na yeyote.
 
Simuoni Ziro hapo!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…