Wakili Peter Kibatala ashinda tuzo ya MPC awards wakili bora wa mwaka 2025

Wakili Peter Kibatala ashinda tuzo ya MPC awards wakili bora wa mwaka 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Well deserved. Mawakili wengi wamefanya vizuri mwaka huu lakini kaka mkubwa Peterki batala amefanya vizuri zaidi. Ukiachilia mbali utetezi mahakamani, kusimamia kesi na kutoa msaada wa kisheria, pia amewalea Mawakili wengi chini yake na wamekua bora sana katika utetezi wa haki. Kama wewe ni mpenda haki sema neno la pongezi kwa Wakili Msomi Peter kibatala. Lakini kama wewe ni wale 29% wazee wa doria mtandaoni pita kimyakimya, usije kulike ukaondolewa hapo central ukapelekwa Namkuku Mtwara ndanindani.!
1765880141329.png
 
Back
Top Bottom