Mbuli yaza
JF-Expert Member
- May 30, 2023
- 797
- 762
afadhali angenyamaza tungeendelea kumwona kimakosa kuwa yuko sawa.Hahaha, huyo ndio Madeleka sasa.
afadhali angenyamaza tungeendelea kumwona kimakosa kuwa yuko sawa.Hahaha, huyo ndio Madeleka sasa.
😭 big boys do'nt cray.Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
afadhali angenyamaza tungeendelea kumwona kimakosa kuwa yuko sawa.
Ndiyo mzeeWakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Kumbe hamna mtu hapa pia. Ahadi za kijinga zinatolewa na mjinga.Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Kumbe ni materialistic, hafai huyu kuwa kiongozi atatusumbuaWakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Sera ya kipumbavuuuu! Amekosa vya kuongea?Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Ana point ya msingi. Vyombo yva usalama, Polisi, magereza, jeshi, walimu, nurses, doctors, wanatakiwa wawe wanalipwa vizuri. Wasishawishe na rushwa sababu ya maisha magumu.Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Kule Zanzibar hadi sasa wamefanya kipi kwa mafanikio tangia wawepo kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa zaidi yakupata nafasi zakula na ving'oraWakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Mimi aliniblock X siku nyingi sana,mimi.huwa nawahi kuwang'amua watu wajingaHuyu jamaa anaonekana ni wakili kanjanja, ujuaji mwingi mbele giza.