PreGE2025 Wakili Peter Madeleka: ACT ikiingia Madarakani, Tutahakikisha kila Askari anamiliki Ghorofa na Land Cruiser

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Angekuwa jirani hapo, wangemtupia viatu

Mwambieni aongelee uchafu na kusomba takataka au hata usafi wa vyoo

Hayo ningemuelewa
 
😭 big boys do'nt cray.
 
Huo ukweli unao fanana na uongo niliusikia nikiwa mdogo miaka 58 iliyo pita
 
hii sera ina tofauti gani na ile ya Ubwabwa- CHAUMMA na au ya kujaza watu mapesa ya John Cheyo?
 
Ndiyo mzee
 
Ameenda ACT kuwachunguza na kuwachafua huyu 🤣🤣🤣. Sera gani zakipumbafu hivyo azitoe wakili msomi? itakuwa katumwa akawahujumu Alliance of Cowards and Traitors...
 
Kumbe hamna mtu hapa pia. Ahadi za kijinga zinatolewa na mjinga.
 
Kumbe ni materialistic, hafai huyu kuwa kiongozi atatusumbua
 
Sera ya kipumbavuuuu! Amekosa vya kuongea?
 

Ana point ya msingi. Vyombo yva usalama, Polisi, magereza, jeshi, walimu, nurses, doctors, wanatakiwa wawe wanalipwa vizuri. Wasishawishe na rushwa sababu ya maisha magumu.

Huduma zao ni za msingi kwa taifa lolote.
 
Kule Zanzibar hadi sasa wamefanya kipi kwa mafanikio tangia wawepo kwenye serikali ya Umoja wa Kitaifa zaidi yakupata nafasi zakula na ving'ora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…