Wakili Peter Madeleka aripotiwa kushikiliwa na Jeshi La Polisi muda mfupi baada ya kutangaza kupokea simu ya Faustine Mafwele

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Mwanaharakati na mwanamitandao maarufu nchini Martin Maranja Masese amedokeza Wakili maarufu Tanzania Peter anashikiliwa na Jeshi La Polisi.

Wakili Madeleka anashikiliwa na Central Police - Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa ya mtandao ambayo hajaelezwa. Mapema leo aliitwa polisi kwamba akajadiliane na ZCO katika shauri lake lingine na mteja wake, alipofika amehojiwa kwa makosa ya mtandao. Peter, amenyimwa dhamana.


Ikumbukwe kwa muda mfupi kabla ya taarifa hii kutoka kwa Martin, Madeleka kupitia akaunti ya X alidokeza kuwa aliitwa kituoni na ZCO wa Dar Es Salaam, Faustine Mafwele kwa ajili ya Mashauriano




 
Wafuasi Wa Chadema Wanajivunia Free madeleka wenzao wanateseka huko mahabusu wao wamekalia X free free mdudu chadomo, wakat jamaa anakula marungu huko. πŸ˜…πŸ˜…
wanawapaga matumaini kama wako pamoja kumbe wenzao wana akili wako nnyumbani yeye anakula msoto sijui kwa manufaa ya nani?upumbavu usio na kifani huu
 
Kumbe mafwele ni binadamu wa kweli, mimi nilikuwa nadhani ni cast wa Jua kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…