Wakili Peter Madeleka aripotiwa kushikiliwa na Jeshi La Polisi muda mfupi baada ya kutangaza kupokea simu ya Faustine Mafwele

Wafuasi Wa Chadema Wanajivunia Free madeleka wenzao wanateseka huko mahabusu wao wamekalia X free free mdudu chadomo, wakat jamaa anakula marungu huko. 😅😅

Mdude kashatoka wewe mchawi usie na aibu. Unataka CHADEMA wakuelezee kila hatua wanayofanya.
 
wanawapaga matumaini kama wako pamoja kumbe wenzao wana akili wako nnyumbani yeye anakula msoto sijui kwa manufaa ya nani?upumbavu usio na kifani huu

Wewe ndio mpumbavu. Mbona CHADEMA huwa inatoa mawakili kusaidia wanachama wake?. Very stupid idiot. Usipende kuongea kitu usichokijua. Raha yako kila mtu awe chawa kama wewe?.
 
Wakikuwepo wenye kiburi zaidi yako akina Kheri James na kina Sabaya.
Me sina cheo chochote mbona nalima zangu korosho huku kusin tu au hili jukwaa wengne haturuhusiwi kutoa maon yetu ?😅😅
 
Polisi na mafwele wamebadili mbinu ya utekaji

Wanakuita then wanakuweka mahabusu bila dhamana

Hongera sana igp wambura kwa ubunifu
 
Wafuasi Wa Chadema Wanajivunia Free madeleka wenzao wanateseka huko mahabusu wao wamekalia X free free mdudu chadomo, wakat jamaa anakula marungu huko. 😅😅
Nani alikuambia mahabusu madeleka anakula marungu?
Si mara ya kwanza madeleka kwenda huko, na yule alikuwa afisa wa polisi mambo hayo si mageni kwake
 
Hii ndiyo inaitwa anatoka mtu anaingia mtu, safi sana.
 
Kituo cha polisi kati hii sijui ndo nini
Waandishi na tafsiri za kijinga kutoka kwenye neno central police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…