Wakili Peter Madeleka ashindwa kuhudhuria kesi ya 'Fatma Kigondo' kwa kuwa amekosa pesa ya kuendeshea kesi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Ushamba sijui ulimbukeni au ujinga sijui kipi kinatusumbua
Alikuwa anakuza jina na ameangusha jina mwenyewe kwa ukurupukaji wake.
Wasomi ndio hawa 🤔
 
Hivi madeleka alishawahi kushinda kesi yoyote mahakamani? Mi nachoona madeleka anajaribu kwenda na upepo ili atengeneze jina ila tactics za kushinda kesi hana, hapo anasema hana hela ili labda apewe michango na ndiyo lengo lake , mtu kama Kibatala yule ndo wakili sasa kwenye drama hutamuona ila utamskia tu kashinda kesi ngumu ngumu
 
Ushamba sijui ulimbukeni au ujinga sijui kipi kinatusumbua
Alikuwa anakuza jina na ameangusha jina mwenyewe kwa ukurupukaji wake.
Wasomi ndio hawa 🤔
Hamna wakili pale
 
Atalipa kwenye kesi kuna kulipana. Ukikurupuka kumshtaki mtu kiboya boya mwishoni unamlipa. 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…