Wakili Peter Madeleka: Freeman Mbowe amechanganywa na wafungwa wanaosubiri kunyongwa gerezani

Wanahangaika tu, hata wamuweke wapi aibu ya mashitaka fake haitowaacha salama.

Hizi zitakuwa ni hasira za kumkataa Jaji wa kimkakati.

sasa mbowe mwenyewe ashaanza kuchagua wakili, anajua alichofanya kwahio kua mpole
 
Kama ni kweli basi hii nchi imeshakuwa mali ya shetani. Wacha Mungu tusimchekee nyani! Tuiombee nchi yetu! Sitanii na sizungumzi kiasi. Wazee tuamke hata nyie ambao mnaosinzia amkeni tukemee uovu wa aina hii maana hii siyo Tanzania tuliyoilea. CCM ndiyo iliyotoa ridhaa ya mfumo wa Vyama vingi. CCM bado ipo??
 
Mnaifanya jamiiforums ionekane ni mtandao wa kihuni huni tu.

We unajua utaratibu wa mtu kunyongwa? Unajua kwamba mpaka DC anahusishwa? Acheni uzushi, sio lazima mpost ili mradi mpate likes
Unajua nafanya kazi gan??
 
Kama ni kweli yupo mahali sahihi wafugwa wa condemn wengi ni wasafi vyumba safi,maji safi na wao hua hmna vurugu kule ndan kwao sema wapo kimya mawazo ila huku changanyikeni ni msala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…