Wakili Robert Amsterdam ni nani?

Kama uchaguzi utakua wa haki vurugu itatokea wapi? Wakuwaandikia waraka ni tume ya uchaguz
 
Kwa akili yako unadhani wote tumeajiriwa kusubiri bahasha za mwisho wa mwezi?!
Mabaya unayavumilia kwa mkeo au mmeo huko nyumbani kwako ila kwenye ajira,hakuna mwajiri yeyote anayevumilia mfanyakazi anayefanya mabaya kinyume na JD yake.acha ujinga
 
Tayari mtukufu ameomba hifadhi Burundi juzi akiwa kigoma alimwalika Rais wa Burundi kuja pale apate kumuomba hifadhi kwani urafiki wake na kagame umechuja sana

Hata akienda alikojificha Mengistu kule Harare si vibaya
 
You made my day! I salute you.
 
Vijana wa Magufuli tukianza kutoa kipigo, tutaanza na shangazi zake bwana bob
 
Reactions: UCD
If you dominate the person's with violence they will eventually fight back

CCM bhana
 
Subiri tarehe 28/10/2020 ndiyo utawajua watz vizuri na beberu wenu Amsterdam
Tarehe hiyo CCM inaenda kuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
 
Kabla ya kuingilia siasa za Tanzania ni vyema ndugu Robert Amsterdem amshawishi Rais Erdogan wa Uturuki kuwaachia wafungwa wa kisiasa zaidi ya 80,000 waliopo kizuizini huko uturuki.

Rais Magufuli hajaweka kifungoni hata mwanasiasa mmoja as we speak.

ni vyema mfanyabiashara huyu akawa na hulka ya kusimama katika haki.

ajiulize kwanza haki ya raia wa uturuki wakiwemo wanajeshi,walimu n.k ipo wapi huko uturuki?

Kwa upande wa mshirika wake hapa Tanzania je anaridhia raia wa uturuki zaidi ya 80,000 kuendelea kukaa lupango?kama ni hivyo yeye anatarajia kufunga watu wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…