swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,470
Yap uhojiwe Kwa nn umepona wakati ulitakiwa ufe,wakubwa hawakupendaKwa hiyo wewe ukipigwa na mitutu ya bunduki, ukipona unatakiwa kukamatwa ili uhojiwe kuhusu shambulio lako ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap uhojiwe Kwa nn umepona wakati ulitakiwa ufe,wakubwa hawakupendaKwa hiyo wewe ukipigwa na mitutu ya bunduki, ukipona unatakiwa kukamatwa ili uhojiwe kuhusu shambulio lako ?
Mzee mmoja wa nchi ya ulaya, shoga, kachanganyikiwa, msambazaji wa imani ya ushoga, anatafuta umaarufu, kajichokea, hana la kufanya zaidi anatafuta kiki ya ya kujiona au kuonekana anafanya cha maana duniani, tumpuuze tu...Baada ya taarifa za kuwepo kwa Tweet yenye barua ya wazi toka kwa raia wa Canada Bw. Robert Amsterdam, nimelazimika kujielemisha ili kujua huyu mtu ni nani, thanks to Google search. Niliyosoma kuhusu huyu mtu yamenishitua.
Kwa kifupi imeelezwa kwamba Bw Amsterdam ni wakili wa kimataifa anayejihusisha na kesi za kisiasa, mikataba ya madini, haki za binadamu, uwakilishi wa kisheria wa makubwa duniani, n.k.
Kati ya kesi maarufu alizowahi kuzisimamia wakili Amsterdam ni zile zilizo wahusisha tajiri Mikhail Khodorkovsky wa Urusi na bilionea Thaksin Shinawatra wa Thailand. Wote hawa walishitakiwa nchini mwao kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kuonyesha nia ya kupindua serikali za nchi zao. Ni wazi kwamba Rais Putin wa Urusi hakuchelewa kumsweka ndani tajiri huyo wa mafuta.
Kwenye kichwa cha habari "A lesson in Intellectual dishonesty and International meddling" mwandishi wa habari Tony Cartalucci anaelezea Wakili Robert Amsterdam kama mtetezi wa majambazi (convicted criminals) hida ya serikali kwa kutumia agenda za Uhuru wa kisiasa.
Wakili Amsterdam pia ameshiriki kwenye kesi za mikataba ya madini katika nchi za kiafrika. Kama raia wa Canada sitashangaa nikisikia kwamba pia alihusika kusimamia makampuni kama Acacia kwenye kesi mbali mbali za kuishitaki Tanzania kwenye mahakama za kimaifa.
Huyu ndiye mtu ambaye Tundu Lissu amemkodisha kusimamia kwenye shughuli zake za kisiasa. Swali linakuja akilini ni kwamba Bwana Lissu amempa ahadi gani ikiwa atakupa Rais?
Huyu mtu anahesabu za political goes gani kwa Tanzania kama ilivyokuwa huko kwenye mataifa mengine? Hakuna chembe ya ukweli kwamba mkataba wa Bw Lissu na Amsterdam unahusu kutuma ya kisiasa.
Andiko la mwandishi Tony kuhusu Intellectual dishonesty and International meddling linatoa picha kamili ya huyu mtu. Hapo ndipo Mh. Lissu ametufikisha kama nchi.
Nadhani kuna ukweli kwamba anatumwa na wakubwa.