Wakili na Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Women and Youth Foundation, Rosemary John Mzee, ameandika historia kwa kuwa mwanamke wa kwanza kujitokeza kuwania Ubunge wa Jimbo la Mbagala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025
Rosemary ambaye ni mhitimu wa Shahada ya Uzamili ya Sheria, amejitokeza kuchukua na kurejesha fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kumteua kugombea nafasi hiyo
Mbali na taaluma yake ya sheria, Rosemary amekuwa mfano bora wa kuigwa katika jamii kupitia taasisi yake ya Tanzania Women and Youth Foundation, ambayo imekuwa ikijikita katika kuwainua wanawake, vijana pamoja na makundi mengine ya kijamii kwa ajili ya maendeleo endelevu
Soma pia:
www.jamiiforums.com

PreGE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Habari Wakuu, Ili kuzifikia nyuzi hizi kirahisi, hapa utapata orodha yote ya mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kwenye ushiriki wa Uchaguzi Mkuu 2025, ambamo ndani yake utapata links za matukio yote yanayojiri katika mikoa husika mpaka kufikia kwenye uchaguzi wenyewe, matokeo ya uchaguzi huo...