Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mawakili wa Mpina leo wamechochea moto tena!
Ni kweli kabisa kwanini watu wengine wasiojiwe na wanadai wenyewe Tanzania ni nchi inayongozwa Kidomokrasia lakini kumbe inaendeleshwa kimabavu.
Lakini Mawakili hao wamesema kwamba hata mchakato ulifanyika kumuondoa Luhaga Mpina kwenue kinyanganyiro cha urais ulikwenda kinyume na katiba ya nchi
Soma Pia: Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025
Mimi nashikilia hapohapo kusema kwamba uchaguzi huu wa urais ni BATILI na wa wizi na ujambazi wa viwango!
=================
Leo Oktoba 21, 2025, mawakili wa Luhaga Mpina waliwasilisha hoja zao katika Mahakama Kuu Masijala Kuu Dodoma kuhusu kesi ya kuenguliwa kwake kugombea urais kupitia ACT–Wazalendo. Kesi hiyo inahusisha Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.