GE2025 Wakili wa Serikali Mkuu anapoiomba Mahakama isiruhusu kesi ya Lissu isioneshwe mubashara ni kiwango cha juu cha ukiukwaji wa haki na mfumo-Haki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi?

Mtazamo wangu:
  1. Serikali inaonesha nia yake ovu kwa kila hatua ambapo Wakili wa Serikali anawakilisha matakwa hayo Mahakamani.
  2. Mahakama imeonesha kukubaliana na kila hoja ya na matakwa ya serikali hivyo inaonesha mwelekeo wa Mahakama kukandamiza misingi na mwenendo wa utoaji na usimakizi wa utoaji haki nchini
  3. Kama ilivyokuwa kwa msajili wa Vyama vya Siasa kutafsiri hadharani hukumu ya mahakama kuu dhidi ya CHADEMA kwenye kesi ya mgawanyo wa mali, inaonesha maafisa wa Serikali wanapoidharau mahakama ama.kuvunja sheria wana kinga maalum.
Soma DSM - GE2025 - Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari

Watanzania tuzinduke usingizini
 
Nashindwa hata niandike nn ?
Moyo wangu unauma sana kila nikisikia haya mambo ( nikizipata bunduki) sharing la mohamed seif khatibu
 
Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi?

Mtazamo wangu:
  1. Serikali inaonesha nia yake ovu kwa kila hatua ambapo Wakili wa Serikali anawakilisha matakwa hayo Mahakamani.
  2. Mahakama imeonesha kukubaliana na kila hoja ya na matakwa ya serikali hivyo inaonesha mwelekeo wa Mahakama kukandamiza misingi na mwenendo wa utoaji na usimakizi wa utoaji haki nchini
  3. Kama ilivyokuwa kwa msajili wa Vyama vya Siasa kutafsiri hadharani hukumu ya mahakama kuu dhidi ya CHADEMA kwenye kesi ya mgawanyo wa mali, inaonesha maafisa wa Serikali wanapoidharau mahakama ama.kuvunja sheria wana kinga maalum.

Watanzania tuzinduke usingizini

Kama wanataka kumnyonga why wanataka kujificha? Si wathibitishe tu uhalali wa wanachotaka kufanya?

Hii ikiachiwa ikafanyika maana yake kila mtu akishtakiwa wataamua tu waseme ni gizani au la wanavyojisikia yani na watamaliza juu kwa juu! Hata wakoloni walinyonga hadharani, wabongo tumerudi nyuma na tumekua chimpanzee tayari tujue moja?
 
Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi?

Mtazamo wangu:
  1. Serikali inaonesha nia yake ovu kwa kila hatua ambapo Wakili wa Serikali anawakilisha matakwa hayo Mahakamani.
  2. Mahakama imeonesha kukubaliana na kila hoja ya na matakwa ya serikali hivyo inaonesha mwelekeo wa Mahakama kukandamiza misingi na mwenendo wa utoaji na usimakizi wa utoaji haki nchini
  3. Kama ilivyokuwa kwa msajili wa Vyama vya Siasa kutafsiri hadharani hukumu ya mahakama kuu dhidi ya CHADEMA kwenye kesi ya mgawanyo wa mali, inaonesha maafisa wa Serikali wanapoidharau mahakama ama.kuvunja sheria wana kinga maalum.
Soma DSM - GE2025 - Wakili wa Jamhuri aomba Kesi ya Tundu Lissu isitishwe kuonyeshwa kwenye Vyombo vya Habari

Watanzania tuzinduke usingizini
Kwan Kuna shida gani kesi inavorushwaa kwenye mtandao....?
 
Waufukweni Waufukweni naomba kesi ya hukumu ya judge mtembwa utuwekee hapa
 
Kutuhumu ni rahisi, kazi kuthibitisha....serikali kazi wanayo
 
Huyu wakili ni kilaza na si ajabu kesi za mahakama za nje hawafui dafu maana unaona hapo mahakama imewekwa kwenye mkoba wa bi Mwenda sasa ni maelekezo kutoka kwenye mkoba.

Hebu angalia hapa video hii ni ya Profesa Mruma akiwa anaitetea Tanzania kule ICSID, japo huyu ni mjiolojia kitaaluma ila ni reflection ya aina ya watu serikali inaowakumbatia kwenye masuala yake.

Mpaka kuna muda katika mazungumzo katika video mojawapo aliulizwa hiki ndio huwa unawafundisha wanafunzi wako hapo UDSM?

Angalia anavyopekua pekua hapo karatasi mara atoboe karatasi yani confidence ni sifuri.

View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=kvA5h9a8HjQSZulB
 
Kila kitu watafanya na wanaweza, Lakini Lissu is the Next President.

Pin hii comment
 
Huyu wakili ni kilaza na si ajabu kesi za mahakama za nje hawafui dafu maana unaona hapo mahakama imewekwa kwenye mkoba wa bi Mwenda sasa ni maelekezo kutoka kwenye mkoba.

Hebu angalia hapa video hii ni ya Profesa Mruma akiwa anaitetea Tanzania kule ICSID, japo huyu ni mjiolojia kitaaluma ila ni reflection ya aina ya watu serikali inaowakumbatia kwenye masuala yake.

Mpaka kuna muda katika mazungumzo katika video mojawapo aliulizwa hiki ndio huwa unawafundisha wanafunzi wako hapo UDSM?

Angalia anavyopekua pekua hapo karatasi mara atoboe karatasi yani confidence ni sifuri.

View: https://youtu.be/psA-SZ59z2M?si=kvA5h9a8HjQSZulB

Wanaishia kuonea wananchi huku wakishindwa ktk kesi za kimataifa.

Imbeciles
 
Back
Top Bottom