Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hata hivyo lazima mauzo yatashuka snHii kampuni ingekuwa ulaya nahisi mpaka muda huu ingeporomoka kiuchumi vibaya Sana. Nahisi hii kesi itazidi kutoa Siri nyingi Sana ni Bora mashahidi wangekuwa wachache kuliko kuleta ujinga mahakamani
Maovu ya sabaya yapo wazi hata wewe ungeenda kutoa ushahidi, tuambie maovu ya Mbowe wapi analalamikiwa na raia wa kawaida zaidi ya serikali hii katili?
Ameulizwa kipaumbele cha kampuni nini akajibu nini? hiyo ni kampuni sasa au ni takataka?Ndiyo maana nikasema mnacomment kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,kisa tu upande unaoupenda ndiyo unaguswa.
Achia Mahakama ifanye kazi yake,wewe siyo Mahakama.Kama waliweza kuwaita Mashahidi kutoka Vodacom,why iwe nongwa kuwaita mashahidi kutoka Tigo? Outcome ya kesi ni swala jingine,nachokataa ni hizi lawama mnazopeleka kwa Legal Officer wa Tigo kisa tu katoa ushahidi tena kwa kuitwa na Jamuhuri.
Muda ni rafiki mzuri.Kwa maana hiyo chadema walitaka hata mtu mwovu akitumia mtandao ALINDWE TU NA UOVU kwa kuwa sheria ya usiri na faragha inamlinda.
#Hata ulaya hakuna kitu ya namna hii.
Hata hivyo lazima mauzo yatashuka sn
Tulia mkuu[emoji3][emoji3][emoji3] dah!
Ameulizwa kipaumbele cha kampuni nini akajibu nini? hiyo ni kampuni sasa au ni takataka?
Tulia mkuu
Usinipangie dingiHiyo si kazi yako,narudia tena achia Mahakama,tafsiri anayo Jaji na si wewe.
PoaHaya Mkuu,nimetulia [emoji3][emoji3]
Hana akili. Huyo legal officer wa kwiio. Afisa kiraka. Angekua ni bwanangu ningemuulia usingizini akirudi nyumbani. Sitaki mpuuzi. Ni vile ni tz, ingekua nchi ingine angefurahia na kampuni yao. Legal officer alichokisema ni kwa niaba ya kampuni. Si ni wewe tunakemeaga klyn jambazi weee? Ama ni uko kwa mama ndo maana huwezi ona maovu? Nadhani wewe ndo unatunia hisia kisa ukweli umesemwa maee... na jamaa Elimu hiyo hana... leo tumedhihirishiwa namna ambavyo India hupokea vilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]Ndiyo maana nikasema mnacomment kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,kisa tu upande unaoupenda ndiyo unaguswa.
Achia Mahakama ifanye kazi yake,wewe siyo Mahakama.Kama waliweza kuwaita Mashahidi kutoka Vodacom,why iwe nongwa kuwaita mashahidi kutoka Tigo? Outcome ya kesi ni swala jingine,nachokataa ni hizi lawama mnazopeleka kwa Legal Officer wa Tigo kisa tu katoa ushahidi tena kwa kuitwa na Jamuhuri.
Wewe nashani akili ni kisoda. Hujua hata watu wanajadili niniSasa wewe, iwapo mtu na genge lake wanataka kupindua nchi, raia mwema akatoa siri na achilia mbali kampuni zikagundua kuna mpango wa kufanya vitendo viovu. Ina maana hiyo kampuni ya mawasiliano ikae kimya kisa eti wana linda siri za mteja?? kweli nyumbu mumechanganyikiwa. Mr DJ ni gaidi
Wewe nadhani akili ni kisoda. Hujua hata watu wanajadili nini..Sasa wewe, iwapo mtu na genge lake wanataka kupindua nchi, raia mwema akatoa siri na achilia mbali kampuni zikagundua kuna mpango wa kufanya vitendo viovu. Ina maana hiyo kampuni ya mawasiliano ikae kimya kisa eti wana linda siri za mteja?? kweli nyumbu mumechanganyikiwa. Mr DJ ni gaidi
Inaonekana hukufuatilia hata majibu ya huyo shahidi mjinga. Hakuna anayehoji utoaji wa taarifa za mteja anayehisiwa ni mhalifu, lakini kuna taratibu zilizotajwa kisheria, ambazo huyo mjinga hakufuata hata moja. Aliambiwa asome, akasoma, akabaki anashangaa shangaa kama yule muuza mbege.Tuyaone kwanza masharti ya leseni ya kufungua kampuni ya simu Tanzania halafu ndio tuanze kurusha mawe, isije ikawa tunarisha mawe kwa asiyehusika..
Hapo kuna siri gani ambayo ulikuwa uijui mbona TRA walikuwa wanafungia/wanachukua pesa za watu bila taarifa kwani ilikuwa ni siri?Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.
Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.
Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.
View attachment 1996391
Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Lazima, hatua zitachukuliwa kuishtaki Tigo, na huyo mjinga atakuwa shahidi.Hapo Tigo hawawezi kufunguliwa kesi na kudaiwa mabilioni ya shillingi kwa kutofuata taratibu za utoaji taarifa za mteja?..
Kupitia hiyo kesi pia wateja wengine kwa kukusanya sign hata 10000 kuishitaki Tigo kwa kushindwa kulinda taarifa za wateja....ref ikawa kesi hii na ile ya Abdul Nondo...
Hapo kuna siri gani ambayo ulikuwa uijui mbona TRA walikuwa wanafungia/wanachukua pesa za watu bila taarifa kwani ilikuwa ni siri?Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Ulisoma utetezi wake ukaelewa mkuu?Jf wakiulizwa kuhusu mimi wanaweza kutetea kwakua, hata kama niliweka info zangu bado ni ngumu kwa mtu aliye nje ya mfumo wa Jf kutambua kuwa zile info ni zangu.Kwamfano, hata kama Mbowe au SHH ni ngumu sana kujua moja kwa moja kuwa SSH anatumia I'd fulani kwahiyo unajua ngumu kumpoint mtu directly.
Huko kwenye huduma za simu, mimi nikihakikisha tu kuwa wewe unatumia line ya tigo hakuna namna ambayo Tigo wanaweza kukataa kuwa hawakutambui. Unless otherwise uwe umesajili kwa kitambulisho cha mtu , kitu ambacho kitaamsha kesi nyingine.
Hana akili. Huyo legal officer wa kwiio. Afisa kiraka. Angekua ni bwanangu ningemuulia usingizini akirudi nyumbani. Sitaki mpuuzi. Ni vile ni tz, ingekua nchi ingine angefurahia na kampuni yao. Legal officer alichokisema ni kwa niaba ya kampuni. Si ni wewe tunakemeaga klyn jambazi weee? Ama ni uko kwa mama ndo maana huwezi ona maovu? Nadhani wewe ndo unatunia hisia kisa ukweli umesemwa maee... na jamaa Elimu hiyo hana... leo tumedhihirishiwa namna ambavyo India hupokea vilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hapo kuna siri gani ambayo ulikuwa uijui mbona TRA walikuwa wanafungia/wanachukua pesa za watu bila taarifa kwani ilikuwa ni siri?
Mbona CRDB wametoa video mteja jinsi anavyochukua pesa zake mpaka anaingia kwenye gari watu wanashangilia
Sasa kinachonishangaza tigo kutoa taarifa kuwa no A" imetuma pesa kwenda no B" wote sasa tumebadilika tunaona makampuni hayana usiri
Watanzania tuache unafiki kama kulalamika tuzilalamikie sheria zetu mbovu na wala sio kampuni ya tigo katika hili kampuni imetimiza wajibu wake kama sheria zetu zinavyotaka