Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

Maovu ya sabaya yapo wazi hata wewe ungeenda kutoa ushahidi, tuambie maovu ya Mbowe wapi analalamikiwa na raia wa kawaida zaidi ya serikali hii katili?

Ndiyo maana nikasema mnacomment kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,kisa tu upande unaoupenda ndiyo unaguswa.

Achia Mahakama ifanye kazi yake,wewe siyo Mahakama.Kama waliweza kuwaita Mashahidi kutoka Vodacom,why iwe nongwa kuwaita mashahidi kutoka Tigo? Outcome ya kesi ni swala jingine,nachokataa ni hizi lawama mnazopeleka kwa Legal Officer wa Tigo kisa tu katoa ushahidi tena kwa kuitwa na Jamuhuri.
 
Ameulizwa kipaumbele cha kampuni nini akajibu nini? hiyo ni kampuni sasa au ni takataka?
 
Hiyo si kazi yako, narudia tena achia Mahakama, tafsiri anayo Jaji na si wewe.
 
Ndiyo maana nikasema mnacomment kwa hisia zaidi kuliko uhalisia,kisa tu upande unaoupenda ndiyo unaguswa.

Achia Mahakama ifanye kazi yake,wewe siyo Mahakama.Kama waliweza kuwaita Mashahidi kutoka Vodacom,why iwe nongwa kuwaita mashahidi kutoka Tigo? Outcome ya kesi ni swala jingine,nachokataa ni hizi lawama mnazopeleka kwa Legal Officer wa Tigo kisa tu katoa ushahidi tena kwa kuitwa na Jamuhuri.
Hana akili. Huyo legal officer wa kwiio. Afisa kiraka. Angekua ni bwanangu ningemuulia usingizini akirudi nyumbani. Sitaki mpuuzi. Ni vile ni tz, ingekua nchi ingine angefurahia na kampuni yao. Legal officer alichokisema ni kwa niaba ya kampuni. Si ni wewe tunakemeaga klyn jambazi weee? Ama ni uko kwa mama ndo maana huwezi ona maovu? Nadhani wewe ndo unatunia hisia kisa ukweli umesemwa maee... na jamaa Elimu hiyo hana... leo tumedhihirishiwa namna ambavyo India hupokea vilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe, iwapo mtu na genge lake wanataka kupindua nchi, raia mwema akatoa siri na achilia mbali kampuni zikagundua kuna mpango wa kufanya vitendo viovu. Ina maana hiyo kampuni ya mawasiliano ikae kimya kisa eti wana linda siri za mteja?? kweli nyumbu mumechanganyikiwa. Mr DJ ni gaidi
Wewe nashani akili ni kisoda. Hujua hata watu wanajadili nini
 
Sasa wewe, iwapo mtu na genge lake wanataka kupindua nchi, raia mwema akatoa siri na achilia mbali kampuni zikagundua kuna mpango wa kufanya vitendo viovu. Ina maana hiyo kampuni ya mawasiliano ikae kimya kisa eti wana linda siri za mteja?? kweli nyumbu mumechanganyikiwa. Mr DJ ni gaidi
Wewe nadhani akili ni kisoda. Hujua hata watu wanajadili nini..

Uwe unasoma na kielewa kwanza, watu wanajadili nin. Siyo unakurupuka na kuandika mambo ambayo siyo hoja ya mjadala. Ona hiki ulichoandika, unaonekana ni mjinga kuleta kitu ambacho siyo hoja ya mjadala.
 
Tuyaone kwanza masharti ya leseni ya kufungua kampuni ya simu Tanzania halafu ndio tuanze kurusha mawe, isije ikawa tunarisha mawe kwa asiyehusika..
Inaonekana hukufuatilia hata majibu ya huyo shahidi mjinga. Hakuna anayehoji utoaji wa taarifa za mteja anayehisiwa ni mhalifu, lakini kuna taratibu zilizotajwa kisheria, ambazo huyo mjinga hakufuata hata moja. Aliambiwa asome, akasoma, akabaki anashangaa shangaa kama yule muuza mbege.
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.

Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika kesi inayomuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA na wenzake wanne, kwamba kati ya Utii kwa mamlaka na Usiri wa taarifa za wateja kipaumbele kwao ni nini, bila kupepesa macho akajibu Utii (Compliance) kwao ndiyo kipaumbele (Priority) zaidi.

Sasa majibu ya kwanini kumekuwepo na uzimaji wa baadhi ya mitandao ya kijamii na kupanda mara dufu kwa gharama za bando za data yameshapatikana. Sababu kubwa ni kwamba huko kwenye hizo social networks zingine kwao Privacy za Wateja ndiyo Priority hivyo mamlaka zitashindwa kupata kile wanakitaka kwa urahisi.

Hii kesi mpaka waje wamalizike mashahidi wote 24 tutakuwa tumeshapata siri nyingi sana ambazo raia wa kawaida tulikuwa tunafichwa.

View attachment 1996391

Ushahidi wote, soma Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Mbowe na Wenzake: Shahidi Afred Kapala wa tiGO atoa Ushahidi, Kesi kuendelea, Nov 03, 2021
Hapo kuna siri gani ambayo ulikuwa uijui mbona TRA walikuwa wanafungia/wanachukua pesa za watu bila taarifa kwani ilikuwa ni siri?

Mbona CRDB wametoa video mteja jinsi anavyochukua pesa zake mpaka anaingia kwenye gari watu wanashangilia

Sasa kinachonishangaza tigo kutoa taarifa kuwa no A" imetuma pesa kwenda no B" wote sasa tumebadilika tunaona makampuni hayana usiri

Watanzania tuache unafiki kama kulalamika tuzilalamikie sheria zetu mbovu na wala sio kampuni ya tigo katika hili kampuni imetimiza wajibu wake kama sheria zetu zinavyotaka
 
Hapo Tigo hawawezi kufunguliwa kesi na kudaiwa mabilioni ya shillingi kwa kutofuata taratibu za utoaji taarifa za mteja?..
Kupitia hiyo kesi pia wateja wengine kwa kukusanya sign hata 10000 kuishitaki Tigo kwa kushindwa kulinda taarifa za wateja....ref ikawa kesi hii na ile ya Abdul Nondo...
Lazima, hatua zitachukuliwa kuishtaki Tigo, na huyo mjinga atakuwa shahidi.
 
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hapo kuna siri gani ambayo ulikuwa uijui mbona TRA walikuwa wanafungia/wanachukua pesa za watu bila taarifa kwani ilikuwa ni siri?

Mbona CRDB wametoa video mteja jinsi anavyochukua pesa zake mpaka anaingia kwenye gari watu wanashangilia

Sasa kinachonishangaza tigo kutoa taarifa kuwa no A" imetuma pesa kwenda no B" wote sasa tumebadilika tunaona makampuni hayana usiri

Watanzania tuache unafiki kama kulalamika tuzilalamikie sheria zetu mbovu na wala sio kampuni ya tigo katika hili kampuni imetimiza wajibu wake kama sheria zetu zinavyotaka
 
Jf wakiulizwa kuhusu mimi wanaweza kutetea kwakua, hata kama niliweka info zangu bado ni ngumu kwa mtu aliye nje ya mfumo wa Jf kutambua kuwa zile info ni zangu.Kwamfano, hata kama Mbowe au SHH ni ngumu sana kujua moja kwa moja kuwa SSH anatumia I'd fulani kwahiyo unajua ngumu kumpoint mtu directly.

Huko kwenye huduma za simu, mimi nikihakikisha tu kuwa wewe unatumia line ya tigo hakuna namna ambayo Tigo wanaweza kukataa kuwa hawakutambui. Unless otherwise uwe umesajili kwa kitambulisho cha mtu , kitu ambacho kitaamsha kesi nyingine.
Ulisoma utetezi wake ukaelewa mkuu?

Hakuna sehemu alisema hamtambui member (mteja wake) alisimama kiume na kusema ana haki kisheria ya kulinda faragha ya mteja wake.
Hata utaratibu uliotumika kutaka atoe vielelezo ulikuwa kinyume cha sheria.

Alifanya hivyo si kwa kujitetea yeye mwenyewe lakini nia ilikuwa kuweka "Presedent" au marejeo kwa kesi zingine zinazolenga kuwaonea wananchi kama hii ya Mbowe.
 
Hana akili. Huyo legal officer wa kwiio. Afisa kiraka. Angekua ni bwanangu ningemuulia usingizini akirudi nyumbani. Sitaki mpuuzi. Ni vile ni tz, ingekua nchi ingine angefurahia na kampuni yao. Legal officer alichokisema ni kwa niaba ya kampuni. Si ni wewe tunakemeaga klyn jambazi weee? Ama ni uko kwa mama ndo maana huwezi ona maovu? Nadhani wewe ndo unatunia hisia kisa ukweli umesemwa maee... na jamaa Elimu hiyo hana... leo tumedhihirishiwa namna ambavyo India hupokea vilaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app

Mkuu naona leo umevurugwa[emoji3][emoji3].Mimi kwa taarifa yako naamini kabisa Mbowe kwa mashtaka yale kuna walakini,lakini najaribu pia kujizuia na kuangalia uhalisia wa kinachoendelea Mahakamani,maana tayari ni kesi inaendelea,siwezi kupeleka hisia zangu kumtukana mtu kisa ameitwa kutoa ushahidi tena kwa nafasi yake.Ndiyo maana kina Kibatala wako pale kupigania haki ya Watuhumiwa,hawajasusa kisa tu wanajua haya ni mashtaka ya kutengenezwa.

Lakini pia huoni kama pengine kupitia huyu shahidi ndiyo ku naweza patikana mianya mingi ya kuwasafisha Watuhumiwa? Assume ushahidi ungeishia kwa Kingai peke yake,wewe ungejuaje weakness za kesi hii?

Unaweza kuta huyu shahidi pia ni mfuasi mzuri tu wa Mh.Mbowe,lakini hapo alikuwepo kutekeleza wajibu wake.Naamini hata wewe ungeitwa kwa nafasi ya Cheo chako usingegoma kwenda Mahakamani,it’s easier said than done.Otherwise nakuelewa sana tu.
 
Hapo kuna siri gani ambayo ulikuwa uijui mbona TRA walikuwa wanafungia/wanachukua pesa za watu bila taarifa kwani ilikuwa ni siri?

Mbona CRDB wametoa video mteja jinsi anavyochukua pesa zake mpaka anaingia kwenye gari watu wanashangilia

Sasa kinachonishangaza tigo kutoa taarifa kuwa no A" imetuma pesa kwenda no B" wote sasa tumebadilika tunaona makampuni hayana usiri

Watanzania tuache unafiki kama kulalamika tuzilalamikie sheria zetu mbovu na wala sio kampuni ya tigo katika hili kampuni imetimiza wajibu wake kama sheria zetu zinavyotaka

Mkuu umegusia kitu muhimu sana kabisa,tuzilalamikie sheria na si mtu binafsi. Hapa hawataki kabisa uhoji katika angle hiyo.Tatizo naona watu wanakuwa na double standards,kwakuwa ni Sabaya ni sawa kabisa Mahakama inaonekana iko sahihi,lakini kitu kile kile kikifanyika upande wa pili,unaona watu wanavyotokwa na povu.
 
Back
Top Bottom